Mapinduzi anacheza namba zote za mbele ingawa anakuwa tishio zaidi akicheza kiungo cha ushambuliaji (namba nane. Aliwahi pia kucheza beki mbili game na zesco na kumfunika vibaya Were mshambuliaji hatari wa zesco tulipocheza nao taifa
Kuna wachezaji wana kadi 2 za njano (nafikiri ni Tshishimbi na Feisal na Makame lakini wamepangwa) kuna mtu anatunza Kumbukumbu na rekodi vizuri hapo Yanga????
Kadi mbili za njano sio issue, zikifika tatu ndo tatizo ambapo mchezaji haruhusiwi kucheza mechi inayofuata, na CAF huwa wana utaratibu mzuri wa kuzijulisha club husika
Kumtoa Makame kulifanya beki ielemewe hata alipoingia Fei alikuwa hana ubavu na kimo cha urefu kupambana kwa mipira ya katikati, na matokeo yake Lamine na Ali Ali kutumia nguvu nyingi mwishowe kusababisha kuumia...bado benchi la ufundi limeendelea kufanya makosa kwenye substitutions...kwa mara nyingine. Kulikuwa hakuna haja ya Kumtoa Balinya timu ilishindwa kushambulia....Sadney alionekana peke yake kule mbele
Toa tshishimbi weka fey toto
ReplyDeleteBalama Mapinduzi namba 11 ndio nafasi yake?
ReplyDeleteMapinduzi anacheza namba zote za mbele ingawa anakuwa tishio zaidi akicheza kiungo cha ushambuliaji (namba nane. Aliwahi pia kucheza beki mbili game na zesco na kumfunika vibaya Were mshambuliaji hatari wa zesco tulipocheza nao taifa
DeleteYanga itakuwa na wakati mgumu iwapo beki yeyote ataumia na kushindwa kuendelea na mchezo. Hakuna beki hata mmoja kwenye orodha ya wachezaji wa akiba.
ReplyDeleteJafar anaweza cheza beki
DeleteHata Muharami Issa "Marcello" ni beki pia
DeleteKuna wachezaji wana kadi 2 za njano (nafikiri ni Tshishimbi na Feisal na Makame lakini wamepangwa) kuna mtu anatunza Kumbukumbu na rekodi vizuri hapo Yanga????
ReplyDeleteCAF hawavizii kama TFF. Ni lazima Club iandikiwe barua ya kutomtumia mchezaji asiyeruhusiwa kutokana kuwa na kadi.
DeleteKadi mbili za njano sio issue, zikifika tatu ndo tatizo ambapo mchezaji haruhusiwi kucheza mechi inayofuata, na CAF huwa wana utaratibu mzuri wa kuzijulisha club husika
DeleteKumtoa Makame kulifanya beki ielemewe hata alipoingia Fei alikuwa hana ubavu na kimo cha urefu kupambana kwa mipira ya katikati, na matokeo yake Lamine na Ali Ali kutumia nguvu nyingi mwishowe kusababisha kuumia...bado benchi la ufundi limeendelea kufanya makosa kwenye substitutions...kwa mara nyingine. Kulikuwa hakuna haja ya Kumtoa Balinya timu ilishindwa kushambulia....Sadney alionekana peke yake kule mbele
ReplyDelete