November 3, 2019

10 COMMENTS:

  1. Balama Mapinduzi namba 11 ndio nafasi yake?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mapinduzi anacheza namba zote za mbele ingawa anakuwa tishio zaidi akicheza kiungo cha ushambuliaji (namba nane. Aliwahi pia kucheza beki mbili game na zesco na kumfunika vibaya Were mshambuliaji hatari wa zesco tulipocheza nao taifa

      Delete
  2. Yanga itakuwa na wakati mgumu iwapo beki yeyote ataumia na kushindwa kuendelea na mchezo. Hakuna beki hata mmoja kwenye orodha ya wachezaji wa akiba.

    ReplyDelete
  3. Kuna wachezaji wana kadi 2 za njano (nafikiri ni Tshishimbi na Feisal na Makame lakini wamepangwa) kuna mtu anatunza Kumbukumbu na rekodi vizuri hapo Yanga????

    ReplyDelete
    Replies
    1. CAF hawavizii kama TFF. Ni lazima Club iandikiwe barua ya kutomtumia mchezaji asiyeruhusiwa kutokana kuwa na kadi.

      Delete
    2. Kadi mbili za njano sio issue, zikifika tatu ndo tatizo ambapo mchezaji haruhusiwi kucheza mechi inayofuata, na CAF huwa wana utaratibu mzuri wa kuzijulisha club husika

      Delete
  4. Kumtoa Makame kulifanya beki ielemewe hata alipoingia Fei alikuwa hana ubavu na kimo cha urefu kupambana kwa mipira ya katikati, na matokeo yake Lamine na Ali Ali kutumia nguvu nyingi mwishowe kusababisha kuumia...bado benchi la ufundi limeendelea kufanya makosa kwenye substitutions...kwa mara nyingine. Kulikuwa hakuna haja ya Kumtoa Balinya timu ilishindwa kushambulia....Sadney alionekana peke yake kule mbele

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic