November 6, 2019


TAMMY Abraham nyota wa Chelsea leo amejifunga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya mbele ya Ajax wakiwa nyumbani uwanja wa darajani dakika ya 2.

Quincy Promes alipachika bao la pili kwa Ajax dakika ya 20 kabla ya Kepa Amzabalaga kujifunga dakika ya 35 bao la tatu na bao la nne lilipachikwa na Donny van de Beek dakika ya 55.

Mabao ya Chelsea mawili yalipachikwa na Jorginho dakika ya 4 na 71 yote Kwa penalti bao la tatu likipachikwa na Cesar Azpilicueata dakika 63 na Reece James alipachika bao la nne dakika ya 74.


Mpira umekamilika kwa sare ya kufungana mabao 4-4.

1 COMMENTS:

  1. Mmmmmh Ajax ni wabishi kweli ila baba atabaki kuwa baba tu, pongezi la the blues

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic