November 25, 2019


Baada ya Mwinyi Zahera kupigwa chini, inaelezwa  Kocha wa As Vital ya DR Congo, Frolent Ibenge, ameingia kwenye rada za kuchukua nafasi ya Zahera.

Kocha ameanza kuhusishwa na tetesi hizo kufuatia kufanya vizuri akiwa na Vital ambayo inashiriki Ligi Kuu Congo.

Ibenge ambaye ni Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Congo, amekuwa akifanya na Zahera kama Msaidizi wake katika kikosi cha taifa hilo.

Licha ya taarifa hizi kuenea, uongozi wa Yanga umeshindwa kuzizungumzia na badala yake umesisitiza kuwa mpaka muda mwafaka ufikie wataweza kuzungumzia mbadala wa Zahera,

Kwa sasa kikosi cha Yanga kimekuwa chini ya Kaimu Kocha ambaye ni Boniface Mkwasa.


7 COMMENTS:

  1. Wameshindwa kumlipa Zahera watamuweza Ibenge. Saleh jembe tuache kidogo.

    ReplyDelete
  2. Tatizo la Yanga pesa za vikapu hazitoshi kitu.Ikiwa Zahera hamna mbavu za kumlipa itakuwa Boss wake?Acheni uswahili

    ReplyDelete
  3. Nyie Mikia Acheni mipasho ya kike,mmekaa kukariri,tuacheni sie tuko busy na mambo yetu...

    ReplyDelete
  4. Mwenye mke ndie anaejua matatizo ya mke wake,nyie kutwa mmekaa kueleza matatizo ya yanga,kwani nyie ni wake zetu? mambo yenu na kocha wenu bado hayajulikani mwisho wake,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nyie mnavyo ongeleaga mambo ya simba kuna mtu anawaalikaga ucpende kumfanyia mwenzako kile unachochukia wewe kufanyiwa

      Delete
  5. Huna viatu unatamani suti. Tafuta kwanza uwezo wa kununua viatu ndio ukimbilie kutamani suti.Umaskini ni maradhi mabaya sana unaathiri ubongo na uwezo så kufikiri.

    ReplyDelete
  6. Nitashangaa sana kama kocha anaweza kutoka AS Vita kwenda kufundisha Yanga. Sababu itakuwa nini?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic