November 23, 2019


FT Ruvu 0-3 SimbaDakika 90 zinakamilika na zinaongezwa dakika 2
Dakika ya 87 Tairone anaanua hatari
Dakika ya 86 Manula anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 85 Mzamiru anatokea kusikojulikana na kuokoa hatari
Dakika ya 83 Mussa anapiga bonge moja ya mshuti anaokoa Manula inakuwa kona haizai matunda
Dakika ya 82 Ruvu wanaanzisha mashambulizi kwa kujipanga
Dakika ya 81 Mzamiru anatoa pasi ya Kisigino kwa Kapombe inatolewa nje, Sharaf anajikunjua anakosa bao kona iliyopigwa na Simba
Dakika ya 80 Kapombe anatoa pasi ndefu inatoka nje
Dakika ya 79 Ruvu inapiga kona yake huku Kahata akitoka nje na Shiboub ndani
Dakika ya 78 Kapombe na Zuberi mguu kwa mguu, Tairone anaondosha hatari na Ruvu wanafanya shambulizi la hatari halizai matunda
Dakika ya 77 Ruvu wanaliandama lango la Simba
Dakika ya 76 Kagere nje anaingia Ajibu
Dakika ya 74 Kanda, Kahata anamtengenezea pasi kwa kichwa Sheva anafunga kwa mguu wa kulia
Dakika ya 74 Ruvu wanaliandama lango la Simba
Dakika ya 73 Ruvu wanafanya mabadiliko Moses Shaban anaingia Shebe
Dakika ya 72 Simba inajipanga upya kwa kurudisha nyuma mashambulizi
Dakika ya 71 Zuber Dabi anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumkalisha Kagere
Dakika ya 70 Martin anafanya jaribio kwa Manula halizai matunda
Dakika ya 69 Mzamiru anapiga faulo haizai matunda
Dakika ya 68 Kanda anapiga chenga na anatolewa kwenye reli na Ruvu, Simba inapata faulo
Dakika ya 67 Kanda anapiga kona Fraga anakosa 
Dakika ya 66 Kagere na Kahata wanambana Mussa, Kagere anajenga kibanda
Dakika ya 65 Tshabalala anapiga faulo baada ya yeye mwenyewe kuchezewa rafu
Dakika ya 64 Deo Kanda anaingia anatoka Dilunga
Dakika ya 62 Maganga anapokwa mpira Kagere anapeleka shambulii la kushtukiza halileti matunda
Dakika ya 61 Mzamiru anapeleka mbele mashambulizi yanakwama
Dakika ya 60 Edward Cristopher wa Ruvu anatolewa nje anaingia Abdulhaman Mussa
Dakika ya 59 Dilunga anafanya jaribio halizai matunda ndani ya Ruvu
Dakika ya 58 Fully Maganga anaingia anatoka Dilunga wa Ruvu
Dakika ya 47 Simba inapata GOOOOOOOL la pili kupitia kwa Fraga akimalizia kona iliyopigwa na Kahata
HT
Zinaongezwa dakika 2

Dakika 45 zinakamilika, Kahata anapiga kona mbili ambazo hazizai matunda Dakika ya 44 Tshabalala anarusha kwake Dilunga
Dakika ya 43 Manula anaanzisha mashambulizi kwenda Ruvu
Dakika ya 41 Tshabalala anapiga faulo haizai matunda
Dakika ya 40 Ruvu inafanya shambulio kali kupitia kwa Martin halizai matunda
Dakika ya 39 , Dilunga kwake Kapombe anapiga pasi ndefu inamkuta Miraj anamalizia kwa kichwa GOOOOOOL 
Dakika ya 38 Kagere anaotea
Dakika ya 37 Simba inaanzisha mashambulizi, Mzamiru, Kahata mpira unatolewa nje, Ruvu Shooting iemechangamka kweli uwanjani
Dakika ya 36 Fraga anaoteaDakika ya 35 Shaban Msala anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Fraga
Dakika ya 34 Tshabalala anapiga faulo haizai matunda
Dakika ya 33 Simba inapata faulo, Dilunga, Fraga,Tshabalala anachezewa rafu
Dakika ya 32 Tshabalala anapiga faulo haizai matunda
Dakika ya 30 Shomari anakosa kupiga mpira aliotengewa ndani ya 18
Dakika ya 29 Ruvu Shooting inaanzisha mashambulizi kwenda Simba
Dakika ya 28 Wawa anazima shambulizi la Ruvu
Dakika ya 27 Ruvu wanacheza faulo kuelekea kwa Manula
Dakika ya 26 Edward wa Ruvu anadondoka kwa muda mwamuzi anamwambia asimame
Dakika ya 25 Ruvu Shooting wanafanya shambulizi halizaia matunda
Dakika ya 24 mchezo unasimama kwa muda kuna mchezaji wa Ruvu anapewa huduma ya kwanza 
Dakika ya 23 Dilunga anafanya shambulio akiwa nje ya 18 mlinda mlango anaiokoa inakuwa kona haizai matunda
Dakika ya 22 mwamuzi anamuonya Fraga kutokana na kucheza rafu
Dakika ya 21 Wawa anacheza rafu kwa mchezaji wa Ruvu
Dakika ya 20 Ruvu wanalifuata lango la Manula
Dakika ya 13 Ruvu Shooting inapata kona ya kwanza
Dakika ya 12 Manula anaokoa hatari
Dakika  ya 11 Kagere anafanya jaribio kwa mtind wa kupinduka anakosa
Dakika ya 8 Mzamiru anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 6 Simba inapipa penalti ya kwanza kupitia Kahata
Dakika ya 5 Mlinda mlango wa Ruvu anaokoa hatari

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic