MSHAMBULIAJI wa Simba Wilker Da Silver leo amefunga bao lake la mapema zaidi wakati timu yake ilipokuwa ikicheza na JKT Tanzania kwenye uwanja wa Chamazi mchezo wa kirafiki.
Wilker raia wa Brazil amefunga bao hilo akiwa nje ya 18 dakika ya tano akimalizia pasi ya Francis Kahata.
Mchezo huu wa leo Novemba 19 ulikuwa na ushindani mkubwa na ulishuhudiwa na mashabiki wengi ulikamilika kwa Simba kushinda bao 1-0.
0 COMMENTS:
Post a Comment