MSANII BONGO AFUNGIWA KUJIHUSISHA NA MUZIKI KISA VIDEO YENYE VIASHARIA VYA NGONO
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limemfungia msanii wa Bongofleva nchini Tanzania, Roza Ree kutojihusisha na muziki kwa miezi 6 kutokana na video ya wimbo wa Vitamin U aliyoshirikishwa na msanii Timmy Tdat wa Kenya.
0 COMMENTS:
Post a Comment