NDEGE YAPIGWA NA RADI ANGANI
Ndege ya Proflight ikiwa na abiria 41 juzi ilifanikiwa kutua salama jijini Lusaka nchini Zambia baada kupigwa na radi na kukumbana na upepo mkali ikiwa angani (umbali wa futi 19,000), ilipokuwa ikitokea Livingstone jana Jumanne, Novemba 26, 2019.
Marubani wa ndege hiyo aina ya Proflight DHC-8-300 wamepongezwa kwa kuokoa maisha ya abiria na kutaka wakumbukwe pamoja na kutunukiwa Tuzo ya Heshima kwa kazi hiyo kubwa waliyoifanya.
0 COMMENTS:
Post a Comment