December 25, 2019


FT: Simba 4-0 Lipuli
Dakika moja inaongezwa
Dakika 90 Ada anapeleka mashambulizi kwa SimbaDakika ya 89 Kapombe, Shiboub,Kagere anapiga shuti lisilo na macho linakwenda nje
Dakika ya 87 Lipuli inapiga kona haizai matunda, hatari inaokolewa na Kened
Dakika ya 86 Gadiel anapeleka pasi ndefu kwa Shiboub mwamuzi ananyanyua kibendera ameshaotea
Dakika ya 85 Lipuli wanatibua mipango ya Simba,  Joshua anaingia anachukua nafasi ya Kihimba
Dakika ya 80 Chama, Kenedy, Gadiel anatoa nje 
Dakika ya 78 Lipuli wanaliandama lango la Simba
Dakika ya 76 Masumbuko anapiga faulo matata inagonga mwamba
Dakika ya 74 Kenedy, Mzamiru,Shiboub mpira unakamatwa na Lipuli
Dakika ya 72 anaingia Kenedy Juma anatoka Pascal Wawa
Dakika ya 71 Shiboub, Kanda, Chama, Kagere, Chama, Michael,Kapombe,Dilunga, Shiboub, Dilunga, Chama anababatiza ndani ya 18 inakuwa kona
Dakika ya 69 David Mwasa anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Chama
Dakika ya 68 Emanuel Kichiba wa Lipuli anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 66 Shaban Ada anaingia kwa Lipuli akichukua nafasi ya Ahmed
Dakika ya 66 Shiboub anatolewa nje kwa machela baada ya kuumia
Dakika ya 64 Gooool Dilunga anapachika bao la nne akiwa ndani ya 18
Dakika ya 64 Lipuli inapata kona yake ya tatu inaokolewa na Wawa
Dakika ya 63 Deo Kanda anaingia  anatoka Kahata Mkude anatoka anaingia Mzamiru Yassin
Dakika ya 62 Kagere anakosa kufunga akiwa ndani ya 18
Dilunga  Goool anafunga bao la tatu dakika ya 57
Dakika ya 54  Lufunga anaonyeshwa kadi ya njano kwa kile mwamuzi alichoamua kwamba alinawa mpira na penalti anapewa Dilunga
Dakika ya 54 Chama anagongesha mpira ndani ya mwamba akiw peke yake
Dakika ya 49 Gooooool Kagere anamalizia pasi ya Chama aliyepokea pasi kwa Wawa
Dakika ya 48 Kapombe anarusha kwake Shiboub, Kapombe, Shiboub, Michael, Kahata, Michael, Tairone, Gadiel, Chama. Kahata, Gadiel, Kakolanya
Kipindi cha pili kimeanza hakuna mabadiliko kwa timu zote mbili
Mapumziko
Zinaongezwa dakika tatu
Dakika ya 45 Chama, Gadiel. Santos wa Simba anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 44, Chama, Wawa,Tairone,Kahata,Chama, Gadiel anababatiza mbele, Kapombe,
Dakika ya 43, Chama, Kahata, Shiboub, Kahata, Michael inatibuliwa na mabeki unarushwa na Gadiel inatibuliwa na Lufunga
Dakika ya 42 Wawa anamtafuta Shiboub, Tairone, Michael,Shiboub,Wawa mlinda mlango  wa Lipuli anaokoa 
Dakika ya 41 Dilunga anapoteza pira ndani ya 18
Dakika ya 40 Simba inapoteza mpia baada ya kugongeana pasi
Dakika ya 39 Kakolanya anapeleka mpira mbele
Dakika ya 38 Saliboko anafanya shambulizi linazuiwa 
Dakika ya 37 David Mwasa anatibua mipango ya Simba
Dakika ya 36 Mkude, Chama, Kahata ngoma inaokolewa
Dakika ya 35 Stevin Mganga anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Dilunga.
Dakika ya 34 Kameta, Nonga anapeleka mashambulizi kati anadhibitiwa
Dakika ya 33 Wawa anafika kati na kutoa pasi kwa Dilunga anaipokea akiwa nje ya uwanja
Mapumziko mafupi kwa ajili ya maji
Dakika ya 30 Kahata anatoa nje inakuwa kona kwa Lipuli kuelekea Simba inakuwa kona ya pili kwao
Dakika ya 29 Kagere anapiga kichwa chepesi kinaokolewa na mlinda mlango wa Lipuli
Dakika ya 28 Wawa anaanzisha mashambulizi mbele, Dilunga anachezewa rafu inakuwa faulo kwa Simba 
Dakika ya 27 Nonga anafanya jaribio linazuiwa na beki wa Simba. Mwinyi anapaisha shuti akiwa kwenye lango la Kakolanya
Dakika ya 26 Saliboko anatibua pasi yake mwenyewe
Dakika ya 25 Lipuli wanagongeana pasi kuifuata Simba mipango yao inatibuliwa na Gadiel
Dakika ya 24 Tairone anaokoa hatari 
Dakika ya 23 Lipuli wanalisakama lango la Simba, Kakolanya anaokoa.
Dakika ya 22 Lipuli wanaanua hatari ndani ya 18
Dakika ya 21 Lipuli wanapandihsa mashambulizi kwa Simba inakuwa faulo
Dakika ya 20 Chama anapoteza mpira akiwa ndani ya 18, Shiboub anapaisha mpira juu akiwa nje ya 18
Dakika ya 19 Dilunga anakosa akiwa na mlinda mlango wanapiga kona haileti matunda
Dakika ya 18 Lipuli wanafanya mashambulizi hayaleti matunda kupitia kwa Masumbuko
Dakika ya 17 Nonga anafanya shambulizi kwa Simba halizai matunda
Dakika ya 16mlinda mlango wa Lipuli anaokoa hatari na kuanzisha mashambulizi kwenda Simba
Dakika ya 12 Kakolanya anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 10 Gooooooool Kahata anafunga bao la kwanza akimalizia pasi ya Shomari Kapombe
Dakika ya 10 Dilunga anashindwa kufunga inakuwa kona ya kwanza haizai matunda
Dakika 09 Lipuli inapiga kona ya kwanza haizai matunda, Kagere ndani ya 18 anakosa nafasi ya wazi kufunga 
Dakika ya 08 Lipuli wanaanza kupeleka mashambulizi lwa Simba, Masumbuko anafanya jaribio matata linaokolewa na Kakolanya 
Dakika ya 07 Wawa anapeleka mashambulizi mbele
Dakika ya 06 Shiboub anapoteza mpira miguuni mwake Lipuli wanaingia ndani ya 18 
Dakika ya 05 Simba wanapeleka mashambulizi kwa Lipuli kupitia kwa Gadiel Michael linaishia mikononi mwa mlinda mlango wa Lipuli.
Dakika ya 03 Lipuli walifanya shambulizi likapaishwa juu
Dakika ya 02 Lipuli walifanya shambulizi ndani ya Simba
 likazuiliwa na Kapombe
Dakika ya 01 Simba walianza mashambulizi kwa kasi
Martin Saanya mwamuzi wa kati leo Uwanja wa Uhuru
Desemba 25,2019
Uwanja wa Uhuru
Simba 0-0 Lipuli

5 COMMENTS:

  1. Nne zinawatosha hao

    ReplyDelete
  2. Yaaan raha kama zote

    ReplyDelete
  3. Kata ngebe,yanga jiandaeni kisaikolojia,ligi ngumu sana kwenu kama mbeya city iliyokua pungufu mmesuluhu nayo na wamecheza mpira wa kawaida tu,kweli nawaambia jipangeni haswaaa.

    ReplyDelete
  4. Waliobaki watie sabuni kichwani mapema wembe uliowanyoa Lipuli unawanyembelea wengine

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic