December 1, 2019


BRENDAN Rodgers, kocha wa Leicester City anatajwa kati ya makocha sita wanaoandaliwa kupokea mikoba ya Unai Emery ambaye ametimuliwa ndani ya Arsenal baada ya kufanya kazi kwa muda wa miezi 18 baada ya kupokea mikoba ya Arsene Wenger

 Kwa sasa Arsenal inayoshiriki Ligi England ipo chini ya Freddie Ljungberg ambaye ni kocha wa muda.

Majina ya makocha wengine ambao wanatajwa kurithi mikoba ya Unai ni pamoja na Mikel Arteta, Patrick Vieira, Max Allegi, Nuno Espirito anayeinoa Wolves, Mauricio Pochentino aliyetimuliwa na Spurs.

Unai amesema kuwa alikuwa na furaha ndani ya Arsenal na ataendelea kuheshimu maamuzi ya mabosi zake kwani jitihada zake hazikuzaa matunda kwenye mechi za hivi karibuni.

  

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic