December 8, 2019


“Katika uongozi wangu tajikita kutengeneza uchumi wa Simba Sports Club lakini ili kufikia hilo lazima tudumishe umoja”- Kaimu Mwenyekiti, Mwina Kaduguda. #AGM2019 #NguvuMoja
.
“Hatuhitaji tena matawi ya kuleta migogoro, huko tumetoka. Simba inakwenda na kama kuna mtu haamini jana ameona. Tunataka matawi yawe kama saccos kwa waotaka mikopo wanachukua kupitia Mo Dewji”- Kaimu Mwenyekiti, Mwina Kaduguda. #AGM2019
#NguvuMoja
.
“Hatuwezi kuwa mabingwa wa Afrika tukiwa na njaa, uenyekiti wangu utajikita kuboresha maisha ya Wanasimba na uwezo wa kifedha wa klabu”- Kaimu Mwenyekiti, Mwina Kaduguda. #AGM2019 #NguvuMoja

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic