December 16, 2019


Kocha Mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola, ameibuka na kueleza juu ya hatma ya mkataba wake na timu hiyo ya Etihad.

Safari hii, kocha Pep Guardiola amesema si kweli kwamba katika mkataba wake kuna kipengele kinachomruhusu kuondoka mwishoni mwa msimu huu.

Mhispania huyo alisaini mkataba mpya mwaka jana, ambao unatarajiwa kufikia ukomo wake mwaka 2021 lakini zimekuwapo tetesi kuwa ataondoka kabla ya muda huo, kwamba kipo kipengele kinachompa haki ya kusepa ikiwa imebaki miezi 12.

“Hapana (hakuna kipengele hicho). Si kweli.

"Nilishazungumza juu ya mipango yangu na klabu hii,” alisema Guardiola akikumbushia kauli yake kwamba ana muda mrefu wa kufanya kazi Etihad.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic