Uongozi wa klabu ya Siba kupitia Ofisa Habari wake, Haji Manara, umewaomba wanachama na mashabiki wake kuchangia fedha za matofali ili kuanza kujenga uzio wa uwanja wao uliopo, Bunju Dar es Salaam.
Simba imeomba mchango kwa nani? Kuwahamasisha wanachama na wapenzi wake kushiriki kwenye shughuli za maendeleo ya klabu yao ishakuwa Simba anaomba mchango?
Simba imeomba mchango kwa nani? Kuwahamasisha wanachama na wapenzi wake kushiriki kwenye shughuli za maendeleo ya klabu yao ishakuwa Simba anaomba mchango?
ReplyDeleteMlijifanya mnaweza kili kitu sasa mbona mmeanza kutembeza bakuli sasa? mnatutia aibu bakuli tena
ReplyDelete