January 16, 2020


FT: Mbao 1-2 Simba
Uwanja wa CCM Kirumba
Goooal Wazir Jr dk 52
Goooal: Mkude dk 46

Goaaal ; Hassan Dilunga dk 41


Zinaongezwa dakika nne
Dakika ya 86 Ajibu nje anaingia Rashid Juma
Dakika ya 84 Bocco anakosa bao la wazi na dakika ya 85 anakosa nafasi ya wazi akiwa ndani ya 18 kwa pasi ya Dilunga
Dakika ya 80 Lukindo anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 74 Charlse Emanuel alionyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 71 Kapombe anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 65 Wazir Jr alifanya jaribo kali akiwa ndani ya 18 lilitoka nje jumla
Dakika ya 52 Wazir Jr anafunga bao kwa kichwa akiwa katikati ya msitu wa mabeki wa Simba
Dakika ya 46 Jonas Mkude anafunga Goool la pili kwa Simba akimalizia asisiti ya Ibrahim Ajibu aliyepiga kona
Kipindi cha pili kimeanza kwa sasa Uwanja wa CCM Kirumba
Kipindi cha pili: Mbao 1-2 Simba
Uwanja wa CCM Kirumba
Goooal Wazir Jr dk 52
Goooal: Mkude dk 46
Goaaal ; Hassan Dilunga dk 41

Zinaongezwa dakika tatu
Dakika ya 41 Hassan Dilunga anafunga bao la kwanza kwa Simba akiwa nje ya 18 kwa guu la kushoto akimalizia pasi ya Mkude.

Dakika ya 40 Lukindo anatolewa kwa Machela baada ya kuchezewa faulo na Mkude
Dakika ya  37 Bocco anafanya jaribio linaokolewa na mlinda mlango akimalizia pasi ya Chama
Dakika ya 35 Ajibu anapiga kona mbili zote hazizai matunda

Dakika ya 34 Dilunga anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 33 Chama anapoteza pasi ndani ya 18 Mchezo unaoendelea kwa sasa Uwanja wa CCM Kirumba ni kati ya Mbao FC na Simba kipindi cha kwanza hakuna mbabe.

Leo Januari 16 Mbao imewakaribisha Simba kwenye mchezo wao wa kwanza msimu huu ambao una ushindani mkubwa.

Mashabiki wamejitokeza kushuhudia ushindani mkubwa wa ligi ambayo inazidi kushika kasi.

2 COMMENTS:

  1. Wazembe nyie mnashindwa kukaa online kutoa updates za mpira kazi kuleta matokeo katika muda ambao tunakua tumeshayapata,wazembe sana nyie na kwa staili hii lazima mchelewe kufikia maendeleo ya hali ya juu,mtaishia kua watu wakupata milo mitatu tu basi nakuridhika.

    ReplyDelete
  2. Sio timu yao pendwa hata matokeo haya umeyapata kwa bahati kwani wameandika huku roho zinauma. Uhasidi mbaya usikie tu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic