January 15, 2020


Wanasimba wenzangu!!

Najua maumivu mliyopitia jana na nnafahamu karaha mnazopata toka kwa watani zetu, lakini niwaambie kitu kimoja, hili kwetu ni funzo, ni funzo kwa kila mmoja klabuni.

Viongozi,Benchi la ufundi na hata wachezaji wetu.

Wanasimba wa leo hawapo tayari kufungwa na hasa kama unafungwa kirahisihisi.

Kocha wetu atakuwa kaelewa nn mnataka wenye timu na wachezaji bila shaka watapambana ili kuwapa Wanasimba mnachostahili
Mm imani yangu ni kubwa sana kwao, hakuna shaka yaliyotokea jana ni historia isiyofaa kurejewa.

Sote tunaumia lakini hii ndio Raha na karaha za football, mtu wa mpira lazma upitie tamu na chungu za kushabikia soka.

Now akili yetu tuelekeze Mwanza ktk mechi mbili ngumu zijazo.

Tushirikiane kupata points sita za CCM kirumba
Insha'Allah tutafanikiwa 🙏

5 COMMENTS:

  1. There is no joy in victory if you don't run a risk of defeat and falling down is not a defeat, but a defeat is to remain where you have fallen

    ReplyDelete
  2. Hala hala Simba Ushirikiano wenu msianze tena campaign zenu za kununua mechi. Waacheni wachezaji wapambane hiyo ndio raha ya mpira na mpira wa Tanzania utakuwa. Chonde msiende kuwanunua wale watoto Mwanza mnaua kabisa mpira. Najua ndugu yangu Manara na wanasimba mna hasira

    ReplyDelete
  3. Power window/powerbank RUKSAAAAAA

    ReplyDelete
  4. MANARA KAMA UNALIJUA HILO BASI USIWE UNATAMBA KUPITA KIASI UKIWAAMINISHA WAPENZI WA SIMBA KUA SIMBA HAIFUNGWI NA IPO NEXT LEVEL

    ReplyDelete
  5. Funzo kubwa liwe kwenye kujitegemea kiuchumi wala usiweke msisitizo kwenye matokeo ya mechi maana hayo ni ya kawaida.Kwa siku mbili ulikimbia vijiwe baada ya ponjoro kutingisha kibiriti hapo ndo mlitakiwa mjifunze

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic