LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga, raia wa Ubelgiji amesema wachezaji wake wana kitu ch kipekee baada ya kushinda mabao 3-1 mbele ya Singida United.
Yanga ipo
nafasi ya nne ikiwa imecheza jumla ya mechi 15 ipo nafasi ya nne ikiwa na pointi 28
ikiachwa kwa jumla ya pointi 13 na wapinzani wao Simba ambao wamecheza mechi 16.
Eymael amesema:" Wachezaji wana kitu cha kipekee wakiwa uwanjani na ninapenda kuona namna gani wanapambana, ni wakati wetu wa kuendelea kupambana na kupata matokeo chanya.
"Tuna wachezaji wengi ambao wanajituma na wanapenda kazi yao, kitu cha kipekee ni kwamba mashabiki wapo pamoja nasi, sapoti yao idumu.
Jitahidi zaidi kwasababu ushindi huo mmeupata.Kutoka Kati ya timu zinazokamata mkia
ReplyDeleteKwahyo mna maana yanga ametupa bomu monchwari??acheni majungu jamani timu zinakutana na vipind tofauti kulingana na hali ya kiuchumi na bodi husika ya kuendesha ligi.
ReplyDelete