January 6, 2020


Taarifa zilizopo zinaeleza kuwa uongozi wa Yanga upo kwenye mchakato wa kuachana na straika wake Mkongo, David Molinga 'Falcao'.

Usajili walioufanya Yanga siku za hivi karibuni unatajwa kuwapa jeuri Yanga haswa kwa ujio wa Ditram Nchimbi ambaye anacheza nafasi ya ushambuliaji.

Kukosekana kwa mchezo wa juzi dhidi ya Simba na namna kikosi cha Yanga kilivyocheza mechi hiyo kinatajwa kuwa kinawapa jeuri wananchi ya kuachana na mchezaji huyo.

Taarifa pia zinaelezwa Yanga wamepanga kusajili mbadala wake ambaye inaelezwa atakuwa anatokea taifa la Zambia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic