February 27, 2020


RAZACK Abalora mlinda mlango namba moja wa Azam FC jana alikuwa kikwazo namba moja kwa timu ya Ihefu FC inayoshiriki Ligi Daraja ka Kwanza kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho.

Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Sokoine dakika tisini zilikamilka kwa timu zote kutoshana nguvu bila kufungana na kupelekea wapigiane mikwaju ya penalti.

Abarola alionyesha balaa lake kwa kupangua penalti mbili na alifunga penalti moja iliyoipa tiketi timu hiyo kutinga hatua ya robo fainali.

 Azam ilishinda penalti 5-4 ilizoshinda Ihefu na kuipa nafasi Azam FC kuendelea kupambania taji lao.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic