February 11, 2020


YANGA iliyo chini ya Kocha Mkuu, Luc Eymael ina kazi ngumu ya kuzitumia mechi nne sawa na dakika 450 ndani ya mwezi Februari.

Leo itanzaa kumega dakika 90 za mwanzo mbele ya Mbeya City kwenye mchezo wa Ligi Kuu Utakaochezwa Uwanja wa Taifa majira ya saa 1:00 usiku.

Eymael amesema kuwa kwa namna ratiba ilivyo kikosi chake kina kazi ngumu ya kufanya kupata matokeo mazuri.

Mechi zake nyingine zipo namna hii

Yanga v Prisons saa 1:00 usiku, 15 Februari, Taifa.

Polisi Tanzania v Yanga, Ushirika,Moshi.

Coastal Union v Yanga, 22 Febuari, Mkwakwani, Tanga.


Yanga v Gwambina,Februari 24/26 Kombe la Shirikisho.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic