tuna tegemea na Yanga itafunga timu 3-0 sio yenye kiwango cha vibonde Singida United.Magoli ya 1-0 na 2-1 hamna tofauti na Zahera kwani naye alikuwa anashinda kwz kiwango hicho hicho...Kocha wa viwango yupo na wachezaji wazuri pia..na viporo bado vipo..hamna tena kisingizio cha waamuzi kwani imegundulika linawaathiri timu nyingi..hata Yanga imefaidika kwa waamuzi..na Simba kama walifaidika nao mechi iliyopita waamuzi waliwaumiza kuwanyima goli halali

ReplyDeleteTunakomboa dk chache tu.
ReplyDelete