YANGA MBONA MNATIA AIBU JAMANI?KWANINI KILA KUKICHA NYINYI NI WATU WAKULALAMA??MNAJUA HICHO SIO KITU KIZURI NA MNAJITENGENEZEA MAZINGIRA YAKUTOKUAMINIWA HATA LIKIJAKUTOKEA KWELI TATIZO LA AINA HIYO HALITAFUATILIWA,YANGA PEASE PUNGUZENI KULALAMA JAMANI MNATIA AIBU JAMANI TUNAOMBA MSIFANYE HIVYO
Tofauti ya maahabiki Wa Simba na yanga; Simba wakifungwa wanailalamikia timu yao na benchi lao la ufundi, hawaitaji TFF wala yanga, lakini yanga ikifungwa au kutoa safe, lawama zote kwa TFF na kwa Simba,hata kama siku hiyo Simba inacheza mkoa tofauti kabisa!
YANGA MBONA MNATIA AIBU JAMANI?KWANINI KILA KUKICHA NYINYI NI WATU WAKULALAMA??MNAJUA HICHO SIO KITU KIZURI NA MNAJITENGENEZEA MAZINGIRA YAKUTOKUAMINIWA HATA LIKIJAKUTOKEA KWELI TATIZO LA AINA HIYO HALITAFUATILIWA,YANGA PEASE PUNGUZENI KULALAMA JAMANI MNATIA AIBU JAMANI TUNAOMBA MSIFANYE HIVYO
ReplyDeleteTofauti ya maahabiki Wa Simba na yanga; Simba wakifungwa wanailalamikia timu yao na benchi lao la ufundi, hawaitaji TFF wala yanga, lakini yanga ikifungwa au kutoa safe, lawama zote kwa TFF na kwa Simba,hata kama siku hiyo Simba inacheza mkoa tofauti kabisa!
ReplyDelete