RAIS John Magufuli amewataka wananchi wote wote wanaojenga kwenye mabonde waache na waondoke wenyewe, wayaachie maji yapite na mabonde yatumike kwa ajili ya kulisha mifugo na kulima lakini si kwa ajili ya makazi.
Mpende mchukie lakini Magufuli ni muarubaini wa mgonjwa yanayoifanya Tanzania na watanzania kushindwa kujikomboa kutoka katika dimbwi la kuishi kwa mazoea. Magufuli ni mkweli na muaminifu wa hali ya juu utashangaa kuona baadhi ya watanzania wakihangaika ulimwenguni wakihangaika kumtengeneza Makufuli mwengine tofauti kabisa na huyu Makufuli wa Tanzania. Sio siri Zito kabwe anaupotosha ulimwemgu kwa makusudi kabisa kuhusu Makufuli labda kama inavyosemwa kuwa Zito kabwe yupo kwenye process au mikakati ya kuomba ukimbizi moja kati ya nchi za Ulaya kwa hivyo matusi,usaliti kwa nchi yake na viongozi wake ni mipango yake ya kujenga vielelezo ya kesi yake ya ukimbizi endapo serikali itajibu mapigo. Hata Tundu Lisu amepata uhalali wa kuishi kikimbizi huko aliko kwa njia ya usaliti kama hizi za zito. Zito analazimisha kuidanganja Dunia kuwa yeye ni mpinzani mkuu wa Makufuli?.kwa hivyo licha ya wapinzani kujifanya wapo smart ila hawawezi kupata umaarufu bila ya kulitumia jina la Makufuli.Na ndio maana Makufuli hata habari nae hana kwani nnaimani kama zito atakabidhiwa kuongoza kata basi itafeli.

ReplyDeletehttps://youtu.be/DlkHAE2Q_I0
ReplyDelete