February 10, 2020

10 COMMENTS:

  1. Kweli salehe ni kiazi, usiposema kuwa kuna harufu mbaya nani atalishugulikia wkt wao(mamlaka husika)hawjui chochote? Unadhani hiyo intergensia inabidi iundwe nanani? Clab itaundaje interagency kwenye uwanja ambao hawamiliki? Ovyo kweli salehe kisha wewe mwenyewe kwa utashi wako unaleta na huku(ktk blog) bora ungeacha hukohuko insta ijulikane mmejisherehesha wenyewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. kweli nathan ulichokisema ni sahihi kabisa,how comes unayeshutumu jambo then wewe ndio uwe sehem ya kufanya uchunguzi,uchunguzi si kazi ya anayetoa shutuma eidha ziwe za kweli ama za uongo,lakn as long as jambo limetokea na vyombo husika vipo,basi ni kazi ya hivyo vyombo kufanya uchunguzi na kuja FUKO ZIMA kama alivyosema saleh

      Delete
  2. Uchunguzi hafanyi Nugaz braza Jembe..watafanya wenye mamlakaa..Kazi ya Nugaz ni kutoa malalamiko. Alafu sijui wewe inakuhusu nini???....haya ndi mambo ya mwananchi kumtetea mbunge wake wakati wenzake wanahoji mambo ya msingi

    ReplyDelete
  3. Saleh hilo limekuchoma kwa vile nawe ni mmoja kwenye kamati ya saidia Simba ishinde,mtaumbuka sana mwaka huu.

    ReplyDelete
  4. Ndugu yangu Jembe, kweli unashangaa mchezaji yule yule kabla halftime anapiga pass zinafika akitoka halftime yuleyule pass haifiki. Burudani ya soka inakoma ghafla. Afadhali wangecheza walau ata dakika 10 tu tungesema sababu nyingine.

    ReplyDelete
  5. Hivi hawa wasemaji wa klabu hizi lini wataacha kuandika upupu? Baada ya kusikia harufu kali walifanya nini? Na uthibitisho walichokifanya uko wapi? Unaandika masuala mazito kama hayo kwenye kurasa za mitandao ya kijamii kweli? Wachezaji kukata upepo kwaweza sababishwa na mambo mengi sana iweje uwe na hisia ni harufu kali ya vyumba ndio kilichosababisha? Kocha wa timu amekiri huu mwezi mna mechi tisa za kucheza uchovu kwa wachezaji lazima utakuwepo na hasa kwa wale ambao hawafanyi rotation na wenzao. Tuacheni non sense na tuwe wa kweli. Kama mshindani wako amekuzidi kubali amekuzidi na uige mabadiliko yake hakuna namna nyingine.

    ReplyDelete
  6. Kwahiyo kazi yako ni kupinga kila jambo wanalosema yanga!? Waliunda kamati ya mashindano ukaiponda, leo unaponda aliyosema msemaji! Kabla ya serikali kuingilia kati issue ya waamuzi ilionekana ni ya yanga na ukawaponda viongozi kuwa hawatumizi wajibu wao. Leo ndo unaona ni issue!? Niliacha kusoma champion kwa ujinga huu, mnaongozwa na roho badala ya akiri

    ReplyDelete
  7. daa siamini kama maneno haya yanatoka kwa mtu alienda shule, badala ya ku-deal na physic ya wachezaji mnaanza kufikiria madawa na uchawi. hivi si huwa yanga hawaingii vyumbani mbona bado pumzi inakata. ina maana hata Lipuli waliwawekea Yanga dawa kwenye vyumba tena katika uwanja wenu wa nyumbani mnaoujua zaidi. Nugaz we 're sick 'n tired of your blaa blaa.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic