February 11, 2020





FT: Mtibwa Sugar 0-3 Simba

Kipindi cha kwanza

Uwanja wa Jamhuri, Morogoro

Goool John Bocco dk 45
Goool Tshabalala  dk 46
Goooal Dilunga dk 59

MTIBWA Sugar leo wameikaribisha Simba Uwanja wa Jamhuri, Morogoro ukiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili.

Simba iliyo chini ya Sven Vandenbroeck  leo imefuta maumivu ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 na JKT Tanzania sawa na Mtibwa Sugar iliyopoteza kwa kufungwa bao 1-0 na Lipuli.

Mashabiki waliojitokeza ni wengi kushuhudia mchezo wa leo ambao ni wa kisasi kwa timu zote mbili.

Simba ilinyooshwa na Mtibwa Sugar kwenye fainali ya Kombe la Mapinduzi, Zanzibar na kuacha taji likabebwa na Mtibwa Sugar

10 COMMENTS:

  1. Mtibwa sugar aibu tupu mwaka huu

    ReplyDelete
  2. Aibu ya nini ndugu yangu??wakati dua yako unaomba simba afungwe.mechi hii itaisha kwa suluhu wala msijali wale washabiki wa yanga.

    ReplyDelete
  3. Hayo magoli yote ni off side yatafutwa tu hayo,na kama sio off side basi ujue wamenunua mechi hao au wamepuliza dawa kwenye vyumba,hawa simba washenzi sana ngoja tutafute figisu nyingine mwaka huu hapana kuchukua kombe.

    ReplyDelete
  4. Msikubali magoli yote matatu yamepatikana kwa maendeleo kuwaangusha wa matopeni kwakuwa wao waliambulia moja tu tena kwa tabu

    ReplyDelete
  5. HA HA HA HA HA MNAPATA TAAAABBBUUUUU SANAAAAAAAA POLENI BANDUGU

    ReplyDelete
  6. USHAURI KWA WANA SIMBA,MSISUMBUE PLZ WAACHENI NA MANENO YAO YASIYO NA MASHIKO ACHA MNYAMA AENDELEE KUCHANJA MBUGA,TULIENI WALA MSIWAJIBU CHOCHOTE KILE.TENA WAKIKWAMBIA MMENUNUA MECHI SEMA NDIO,WAKIKWAMBIA UMEPULIZA DAWA WAAMBIE NDIO WATAJIONA WAJINGA WAO.YANI USIBISHANE NA KICHAA MAANA NYOTE MTAONEKANA VICHAA.

    ReplyDelete
  7. Hao kandambili vyura wa jangwani ndio asili yao maneno haya mbebwe usiku huu ndio mbebwe

    ReplyDelete
  8. haya tuambieni hapo je mechi imenunuliwa? refa gani atataka fungiwa miaka tatu..Je vyumba vimepuliziwa dawa? Tunasubiri na nyie muwafunge Mtibwa tatu kwao

    ReplyDelete
  9. salamu zake Nungaz..Timu Kagere na Bocco imerudi.Na Kichuya pia amerudi

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic