February 18, 2020

FT:-Polisi Tanzania 1-1 Yanga
Uwanja wa Ushirika,Moshi
Goal: Tariq dk 41
Goal ;Sabilo dk 71
Zinaongezwa dakika nne
Dakika ya 90 mlinda mlango wa Polisi Tanzania anapewa huduma ya kwanza Dakika ya 71 Sabilo anafunga bao la kusawazisha kwa pasi ya Kaheza aliyepiga kona
Dakika ya 67 Sabilo anatengeneza pasi kwa Pato Ngonyani anafunga bao safi kwa kichwa linakataliwalinakataliwa
Dakika ya 66 Morrison anafanya jaribio linaokolewa na mlinda mlango
Morisson anapiga faulo inaokolewa
Dakika ya 66 Yikpe anaingia anatoka Tariq
Dakika ya 62 Morisson anapiga kona ya tano
Dakika ya 60 Morisson anapiga kona ya nne
Dakika ya 58 Tariq anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 56 Juma Abdul anapeleka majalo yanaokolewa na mlinda mlango wa Polisi
Dakika ya 55 Kaheza anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 54 Tariq anafanya jaribio halizai matunda
Dakika ya 53 Majogoro anacheza faulo
Dakika ya 51 Yanga wanafanya mashambulizi Kwa Polisi linaokolewa
Dakika ya 50 Polisi Tanzania wanafanya shambulizi linaokolewa
Dakika ya 47 Yanga wanapeleka mashambulizi Polisi

ziliongezwa dakika 2 Dakika ya 41 Tariq anafunga goal kwa pasi ya Morisson
Seif anafunga bao la kuongoza Kwa Yanga
Dakika ya 39 Majogoro anafanya jaribio halileti matunda
Dakika ya 38 Polisi Tanzania wanapiga faulo
Dakika ya 37 Juma Abdul anapiga faulo kwa guu lake la kulia inaokolewa
Dakika ya 32 Kaheza anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 31 Niyonzima anamwaga majalo
Dakika ya 30 Morisson anachezewa faulo
Dakika ya 27 Shikalo anaanizisha mashambulizi
Dakika ya 25 Yanga inapiga Kona ya tatu Morrison ndiye anapiga inaokolewa
Dakika ya 24 Polisi wanaanzisha kwenda Kwa Yanga mashambulizi
Dakika ya 23 Niyonzima kwake Tshishimbi
Dakika ya 18 Nchimbi anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18.Ndani ya dakika 15 timu zote zimecheza Kwa kujiamini na kushambuliana kwa zamu
Dakika ya 15 Kaheza anapeleka mashambulizi Yanga
Dakika ya 13 Juma Abdul alimimina majalo yakakutana na Kichwa cha Morrison kikapaa.
Dakika ya 11 mlinda mlango wa Polisi TanAnia anapewa huduma ya Kwanza baada ya kuokoa Kona iliyopigwa na Morrison


Dakika ya 05 faulo wanapiga Polisi Tanzania
Dakika ya 03 Yanga walipiga kona haikuzaa matunda.

Dakika ya 02 Tariq alifanya jaribio liliokolewa na mlinda mlango wa Polisi Tanzania

10 COMMENTS:

  1. Goli la wazi linakataliwa hata na hilo basi kataeni? Vyura nyinyi mnabebwa

    ReplyDelete
  2. Ha ha ha ha ha ha wanapigwa mbona tena dk za usiku kabisa.yanga mnatia aibu jamani.

    ReplyDelete
  3. Hawoooooo aibuuuuu Yahoooooo kandamiliiiiiii vyuraaaaaa wanabebwaaaaaaa kandambiliiiiii hawoooooo aibu yaoooooo

    ReplyDelete
  4. Vyura chali na vigenge vitaanza sasa hivi "tunaumia tunaumia hapana haki Refa maonevo"

    ReplyDelete
  5. Mabingwa wa jadi haoooooo Haki ya Mungu fulaha tupo

    ReplyDelete
  6. Na Costal Iinakungojeeni. Pinduuuu

    ReplyDelete
  7. Coastal Union tunawasubiri hao tuwatoe nishai. Hawatoki Mkwakwani. Waulizeni Azam .

    ReplyDelete
  8. Polisi wamenyimwa goli la wazi mfungaji Ngonyani pasi ya Sabilo.Yanga wamshukuru refa.

    ReplyDelete
  9. Mnaongea huku roho zinawauma,hata ufanye nn ilikua lazima goli lifungwe ndiomana yule kipa akaona hapa hakuna namna bora amkate boko ili ipigwe penati ambapo posibility yakufunga nakukosa pia inakuwepo kubwa sana,kipa ana akili sana,kwa mpira anaocheza simba acheni bhana unafiki anastahili hata kukabidhiwa kombe lake,hakuna namna,sio wanajangwani mnafuta goli la wazi la polisi tanzania kweli hapana hii ni aibu sana,na hapa ndipo mtakapo mkumbuka zahera yule ndio kocha aliekua anastahili kuendelea kuwepo hapo kwa jinsi ambavyo alijitoa kwa jasho na damu,angewapa matokeo bora sana kwa kipindi hiki,SIMBA BINGWA HATA MFANYE FIGISU GANI HUO NDIO UKWELI.haturuhusu povu plz.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic