NYOTA wa Atletico Madrid, Kieran Trippier amefunguka
kuwa anatamani siku akistaafu soka basi arudi kuichezea timu yake ya zamani
ya Burnley.
Beki huyo alijiunga na
Atletico majira ya joto mwaka 2019 na ni msimu wake wa kwanza ndani
ya klabu hiyo.
Trippier amesema kuwa anatamani kustaafu masiaha ya soka akiwa ndani ya timu yake ya zamani ambayo aliitumikia zamani.
“Natamani
kustaafu soka langu nikiwa katika klabu ya Burnley, nataka kucheza kwa kiwango
ili ukifika muda wa kuondoka basi Burnley ndiyo timu sahihi kwangu kumalizia
soka.
0 COMMENTS:
Post a Comment