JOHN Bocco, nahodha wa Simba amesema kuwa kuchapwa kwao mbele ya Yanga sio mwisho wa mapambano.
Bocco mwenye mabao matatu na pasi moja ya bao alishuhudia timu yake ikichapwa bao 1-0 na watani zao wa jadi Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Machi 8, Uwanja wa Taifa.
"Haina maana kwamba kufungwa kwetu ndio mwisho wa mapambano hapana kazi bado inaendelea na tuna mechi mkononi ambazo tunaamini tutapata matokeo, mashabiki wasikate tamaa nasi pia tutaendelea kupambana," amesema.
Mchezo wa kwanza Simba ikiwa nyumbani ilikubali sare ya kufungana mabao 2-2 mbele ya Yanga na mchezo wa pili ilinyooshwa kwa bao 1-0 mbele ya wapinzani wao wa jadi Yanga.

Huyo John Boko bora astaafu mpira akasomee urefa. Hana msaada wowote katika idara yake ya kazi ndani ya kikosi cha Simba hivi sasa,mechi ya ngapi hii anashindwa kufunga hata goli la kuotea? Kazi ya Boko sio asisst au kutoa pasi au kukimbia mbio zisio na maana. Kazi ya John Boko kama fowadi namba moja ni kufunga sasa anashindwa kufunga anapangwa kwa ajili gani? Mbaya zaidi tangu arejee kutoka majeruhi kuleta balaa kwa kagere hawezi kufunga tena.Nashangaa wale wanaomzodoa kocha kwa kutompanga Boko. Sio kama mchezaji mbaya ila Boko hatakiwi kuwa mchezaji mzuri bali anakiwa kuwa mfungaji mzuri na kazi hiyo imemshinda sasa, na bado anang'ang'aniwa kupangwa? Maneno kuntu povu ruksaa ni maoni binafsi.
ReplyDeleteAcha maneno wewe , unajua kufunga wewe na mbona hujaenda ukacheze au maneno maneno tuu
ReplyDelete