March 23, 2020

5 COMMENTS:

  1. amesema simba hawamfuata sasa hayo maneno yanatoka wapi

    ReplyDelete
  2. Wanajichanganya kwanza wamesema kuwa ilibaki kidogo kusaini Simba hii inaonesha wazi kuwa aliipenda Simba kama Wanavoipenda wengine halafu eti anasema waache Simba kumsumbua. Mnyama uzishindane nae ina wenyewe wasiobabaika wala utete

    ReplyDelete
  3. Ushuzi mtupu.Yanga wanajitekenya wenyewe halafu wanacheka wenyewe.

    ReplyDelete
  4. Hizo ni habari za waandishi wa magazeti ili kuuza magazeti yap

    ReplyDelete
  5. Sawa ila mbona mnatoa mapovu hivyo. Poleni sana watani mapovu ndio jadi yenu. Nasubiri mtoe povu jingine.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic