BAADA YA KUMPA ONYO ZAHERA, MANARA AWAPELEKA KWA MAGUFULI WANAOHARIBU MIPANGO SIMBA
Ahadi ni deni! Tulikuahidi tutafanya vema katika Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, na bila shaka hatujakuangusha Mkuu.
Kuna Watanzania wenzetu kwa dhamira ovu kwa nchi yao wanahamasishana kutukwamisha.
Ila usijali Mkuu, hao tushawazoea na wataendelea kuwepo siku zote, kama wanabeza Dreamliner Simba ni nani hadi wasitubeze?
Ila kwa uwezo wetu na matakwa ya Mola Mwenyezi hatukuangusha wewe na Watanzania wote wanaoitakia mema nchi yetu Inshaallah 🙏
Do or die
Na Haji S Manara
Kauli ya mfa maji
ReplyDeleteMara mlizuie basi LA wachezaji wa vita
Eti yumo zahera
Kweli mnaogopa mbinu Kali uwanjan za mwinyi zahera
Kikumbwa chezen mpira xio kutapatapa
Kama kocha wa timu ya mchangani na matopemi angekuwa na mbinu kali asingeshindwa kuifunga simba. Kovha wa AS VITA amekili waziwazi kuwa wanaiheshimu Simba sababu ni timu kubwa na nzuri Afrika na sio YANGA. Ndio maana mpk leo mfungaji bora Afrika anatoka Simba katika nchi 54 zenye fowadi zaidi ya milioni 6 katika vilabu zaidi ya milioni 1 Afrika.Nenda klabu yoyote na mji wowote na nchi yoyote afrika utaambiwa Kagere ndie fowadi bora
DeleteMhh, ila umeongea kweli ndugu hakuna kama.simba kwa Afrika kwa huu mwaka 2019.
ReplyDeleteHakuna kama Simba ktk nini? Kufungwa goli 10 ktk michezo miwili? Punguzeni povu, itakieni mema timu yenu. Usimlazimishe jirani kuwa na uchungu wa msiba wako sawa na wewe
ReplyDelete