April 13, 2020

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa ni muhimu kwa wachezaji wake kufanya mazoezi kwa sasa kujiweka sawa licha ya kupitia kipindi kigumu.

Ligi Kuu Tanzania Bara imesimamishwa na Serikali ili kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo  wachezaji wapo nyumbani baada ya kambi kuvunjwa.

Mgunda amesema:"Ni kipindi kigumu ambacho tunapitia kwa sasa ni dunia nzima inapambana lakini ni muhimu kwa wachezaji kuchukua tahadhari ili kujilinda na Virusi vya Corona pamoja na kulinda vipaji vyao kwa kufanya mazoezi,".

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic