April 14, 2020


UONGOZI wa Simba umesema kuwa uongozi wa Yanga ni lazima waushukuru uwepo wa GSM ndani yao kwani isingekuwa hivyo hata kuwachapa kwenye mchezo wao uliochezwa Machi 8 Uwanja wa Taifa ingekuwa ni ndoto.

Yanga iliibuka na ushindi huo kwa bao pekee lililofungwa na Bernard Morrison kwa mpira wa adhabu aliofunga akiwa nje ya 18 na kuwafanya Simba kuyeyusha pointi tatu jumla.

Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa uwekezaji wa GSM umeipa sapoti kubwa Yanga jambo ambalo limewafanya wawe katika ubora.

"Yanga ni lazima waishukuru GSM kwa kuwa wameweza kuwa kwenye ubora wao, isingekuwa hivyo inakuwa ngumu kabisa kutufunga kwenye mechi ambayo tulicheza nao Machi 8,".

6 COMMENTS:

  1. Wewe kweli ni ng'ombe sasa wewe mambo ya yanga yanakuhusu nn?

    ReplyDelete
  2. Manara hataki wachezaji wa Simba waongee wakati yeye anatoa maoni yake binafsi badala ya kuongea like anachoagizwa na uongozi

    ReplyDelete
  3. Ww uliemuambia manara ng'ombe,, ww ni nguruwe

    ReplyDelete
  4. Sasa Yangu waishukuru GSM,sawa ni jambo jema. Kwani hao Simba wawa wanajitegemea wenyewe???Mbona wao hawasemi wamshukuu MO???Hii hoja siyo sahihi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Punguza povu,mwambie mchapisha habari akupe chanzo cha taarifa yake.na akiweka chanzo nihabarishe,hawa ni wajinga sana yani wanaandika ujinga ambao wala club haijui wala haina taarifa.hakuna wahariri nchi imeshauzwa hii waandishi wajinga ni wengi sana.

      Delete
  5. Subirini korona iishe,sasa hivi tunaongea mate

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic