FEISAL Salum, 'Fei Toto' kiungo anayekipiga ndani ya Yanga ambaye miongoni mwa viungo anaowakubali ni pamoja na Clatous Chama anayekipiga ndani ya Simba ameonesha nia ya kuibukia huko kwa masharti.
Kiungo huyo amesema kuwa anaweza kucheza ndani ya Klabu ya Simba iwapo viongozi wake watamruhusu kufanya hivyo.
"Bado nina mkataba mrefu na Yanga kwa sasa lakini sina shida iwapo inatokea Klabu ya Simba ama Klabu nyingine zikahitaji saini yangu nitafanya nikiwa na ruhusa.
"Mimi ni mchezaji wa Yanga viongozi wananipenda nami nawapenda pia ikitokea klabu inahitaji saini yangu utaratibu ufuatwe sina hiyana nitasaini bila tatizo," amesema.
Fei Toto yupo zake Visiwani Zanzibar kwa sasa baada ya ligi kusimamishwa kutokana na janga la Virusi vya Corona.








Kuna vitu vingne n vya kijinga kuviandika huku
ReplyDeleteNenda tu kama kumakunaeleweka....ila yanga ndo masikani
ReplyDeleteThis is such a great resource that you are providing and you give it away for free. I love seeing blog that understand the value of providing a quality resource for free. 에스뱅크 토토
ReplyDeleteIt was wondering if I could use this write-up on my other website, I will link it back to your website though.Great Thanks. 먹튀폴리스
ReplyDelete