May 22, 2020




Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Dr.Harrison Mwakyembe amesema kuwa mfumo wa Uchezaji wa Ligi katika Mpira wa Miguu ni kuwa Ligi kuu itachezwa katika Mkoa mmoja ambao ni Dar es Salaam hivyo timu zote zitacheza mkoani Dar.

Huku Ligi Daraja lA kwanza na Ligi Daraja lA Pili kituo kitakuwa ni Mwanza hivyo timu zote  zinatatakiwa kwenda Mwanza.

Michezo yote Itachezwa bila Mashabiki ila kikundi cha Mashabiki wasio zidi 20 wanaruhusiwa.

1 COMMENTS:

  1. Hongera Sana Mhe. Waziri kwa uamuzi huo ambao kiukweli utazipunguzia klabu gharama za uendeshaji na pia kukidhi ratiba ya kuhitimisha ligi.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic