May 21, 2020

ERKUT Sogot, wakala wa staa wa Arsenal Mesut Ozil amesema kuwa lengo la mteja wake ni kuhakikisha anamaliza muda wake ndani ya kikosi hicho.

Ozil amekuwa akihusishwa kuondoka ndani ya timu hiyo msimu ujao na ikitajwa kuwa anaelekea Uturuki.

Timu ya Fenerbance inatajwa zaidi kuhitaji saini ya kiungo huyo fundi wa mpira.

Wakala huyo amesema Ozil anataka kufanya kazi na Arsenal iliyo chini ya Kocha Mkuu, Mikel Arteta.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic