May 27, 2020


MWILI wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa zamani wa Klabu ya Yanga, mchezaji wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, marehemu Lawrence Mwalusako, umeagwa leo nyumbani kwake maeneo ya Ubungo Kibo.

Mwalusako alitangulia mbele za haki Mei 25 alipokuwa akipatiwa matibabu Hospitali ya Muhimbili.

Baada ya kuagwa mwili utaelekea Kyela jijini Mbeya ambapo maziko yatafanyika.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic