BEKI wa zamani wa Klabu ya Manchester United, Rio Ferdinand amesema kuwa mchezaji ambaye bora ambaye alicheza naye alikuwa ni Cristiano Ronaldo.
Rio alicheza na Ronaldo katika klabu hiyo kipindi cha nyuma ndani ya United huku akimtaja na Paul Scholes kuwa anastahili heshima.
Ronaldo akiwa ndani ya Manchester United alitwaa mataji matatu ya Premier na taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya na alifunga jumla ya mabao 118.
"Cristiano Ronaldo ndiye mchezaji bora ambaye nilicheza naye wakati nipo ndani ya Manchester United ukisema nikutajie mwingine atakuwa ni Paul Scholes.
"Hata nikipewa fedha niambiwe nibeti basi ninaweza kumchagua yeye sababu tu ya ufundi wake akiwa ndani ya Uwanja na pasi zake bora.
"Scholes alistaafu mapema England sababu alikuwa anachezeshwa nafasi ambayo haikuwa sahihi kwake,".
Kwa sasa Ronaldo anakipiga ndani ya Klabu ya Juventus.

0 COMMENTS:
Post a Comment