May 25, 2020

5 COMMENTS:

  1. Mjikumbushe nini inaonesha wazi kuwa mnnajihisi haikuwa kiasi chenu kuifunga Simba na ilikuwa limbukeni kuifunga na ndio mana mnakaa mkiweseka

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tumia ubongo kufikiria na sio makamasi wewe

      Delete
  2. Bora jikumbushe pointi 21 mnazozidiwa na Simba na magoli chungu nzima. Kuna wengi tu wameacha kusoma blogu yenu nä mimi ni mara ya mwisho leo kuisoma. Badilini jina muwe kijarida cha Yanga..

    ReplyDelete
  3. Huyu mwandishi kazidi unazi miaka mingapi yanga kapigwa mfululizo hajawahi kujikumbusha

    ReplyDelete
  4. Huyu sio tu mshabiki wa yanga, bali pia ana mahusiano na morrison, sio kwa kumpenda kote huku

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic