June 3, 2020


INJINIA, Hersi Said, Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM, amesema kuwa watatoa mkwanja wa maana kwa wachezaji ili kuwaongezea morali ya kupambana kubeba taji la Kombe la Shirikisho.

Yanga ipo hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho ambapo kati ya Julai 27/28 itamenyana na Kagera Sugar endapo itashinda itakutana na mshindi kati ya Simba ama Azam FC.

Said amesema:-Tutatoa mkwanja mrefu kwa ajili ya kuwapa morali wachezaji ili wapambane kwa ajili ya kuhakikisha tunabeba taji la Kombe la FA.

 "Malengo yetu ni kuona kwamba timu inarejea kimataifa na inashiriki Kombe la Shirikisho Afrika hivyo suala la bonasi hilo lipo kwa wachezaji kuhakikisha ushindi unapatikana," amesema.

4 COMMENTS:

  1. Mnyama yeye kimyakimya na anapotowa kwa mkono wa kulia, mkono wa shoto unakuwa hauna habari

    ReplyDelete
  2. kweli kabisa ndio maana ata B20 ALIWEKA KIMYA KIMYA

    ReplyDelete
  3. Vipi Manji kakodisha timu au imeshindikana?

    ReplyDelete
  4. Tofauti ni pointi 20 nä magoli mengi sana.Hivyo hamna cha kulinganisha. Ni sawa kulinganisha Liverpool na New Castle.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic