NAHODHA wa Simba, John Bocco alikuwa wa kwanza kufunga bao kwenye Uwanja wa la kwanza kwenye Uwanja wa zamani wa Azam Complex Chamazi, Agosti 20,2011 mbele ya Moro United.
Bocco alifunga bao hilo kwa penati dakika ya 45, baada ya Bocco mwenyewe kufanyiwa madhambi ndani ya eneo la hatari.
Bao la kwanza kwenye uwanja mpya wa Azam Complex, Chamazi, limefungwa na Richard Djodi ambaye amerithi mikoba ya Bocco ambaye kwa sasa anakipiga ndani ya Simba ilikuwa ni kwenye mchezo dhidi ya Mbao FC.
Ni katika mchezo wa kwanza wa ligi baada ya mapumziko ya miezi mitatu ya Corona, uliochezwa Juni 14, Azam FC ikishinda mabao 2-0.
Umeandika huyu hapa mrisi wa boko hayo maelezo ulio andika hayafanani hakuna ambae umemezungumzia zaidi ya boko mwenyewe huna cha kuandika acha
ReplyDeleteWaandie hao GONGOWAZI kila kukicha wanasajiri sasa hadi ikifika tarehe ya kusajiri watakuwa wamesajiri wachezaji 300
ReplyDeleteEnter your comment...Bro Saleh Heading yako na Details katika Para hakuna uhusiano;as Professional u nid to abolish Fallacy ktk Stori yako!!!..News Story should have credibility,halafu hii si mara moja mzeee hata kama unatafuta traffic sio kihivyo Mzee.
ReplyDeleteHeading nyingi e na yaliyofata mengine
ReplyDeleteUtopolo mtupu, hatuna waandisha hapa ni ushuzi mtupu.
ReplyDeleteKwakweli hiinayo imekaa vibaya
ReplyDelete