July 8, 2020


FT: Namungo 0-0 Simba
Dakika 2 zinaongezwa 
Dakika 90 zimekamilika, Simba wanapata kona inaokolewa na Barola
Dakika ya 88 Mpira unagonga nguzo ya lango la Kakolanya
Dakika ya 81 Namungo wanapata kona kuelekea lango la Simba 
Dakika ya 72 Manyanya wa Namungo anatoka anaingia Issa
Dakika ya 64 Kakolanya anaokoa hatari kwenye lango lake
Dakika ya 63 Kanda anaingia kuchukua nafasi ya Kahata
Kipindi cha pili kimeanza Majaliwa

Mapumziko
Zinaongezwa dakika 3

Dakika ya 45 John Kelvin wa Namungo anakosa kufunga ndani ya 18 kwa pasi ya Abeid ambaye alionyeshwa kadi dakika ya 43
Dakika ya 42 Namungo wanapata faulo kwenda kwa Kakolanya
Dakika ya 40 Kikoti anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 32 Kikoti anafanya jaribio linaishia kwa Kakolanya
Dakika ya 31 Kagere anafanya jaribio linakwenda nje ya lango
Dakika ya 24 Blaise anapewa huduma ya kwanza baada ya kuumia 

Dakika ya 21 Kagere anafanya jaribio linaokolewa
Dakika ya 19 Simba wanapata kona haizai matunda
Dakika ya 13 Manyanya alichezewa faulo ndani ya 18 na Mlipili haikuamuliwa penalti
Dakika ya 9 na 11 Kagere alifanya majaribio hayakuleta matunda
Dakika ya 5 Simba walipata kona
Dakika ya 3 Namungo walipiga kona mbili
Dakika ya 03 Blaise anafanya jaribio linaokolewa na Kakolanya kona ya kwanza
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Namungo FC v Simba
Uwanja wa Majaliwa, Lindi
Kipindi cha kwanza

Baada ya mchezo Simba itakabidhiwa rasmi kombe lake

1 COMMENTS:

  1. Mnyama keshapokea pipa la fahari baada ya kunyimwa peneti ya wazi na kubakia Lao na hayo yataendelea kwa miaka ijayo, wanune wataonuna ndio hali ya dunia

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic