INAELEZWA kuwa nyota wa Yanga, Bernard Morrison amemalizana na uongozi wa Smba hivyo anaweza kutangazwa muda wwote kuanzia leo Agosti 7.
Habari zinaeleza kuwa Morrison tayari ameshamalizana na Simba kilichobaki kwa sasa ni kutangazwa ndani ya kikosi hicho cha Simba.
'Tayari Simba wamemalizana na Morriosn kilichobaki ni kutanagazwa tu ndani ya kikosi hicho," ilieleza taarifa hiyo.
Injinia Hersi Said ambaye ni Mkurugenzi wa Uwekezaji ndani ya GSM ambao ni wadhamini wa Yanga amesema:"Inashangaza kwa kuwa bado Morrison ana mkataba na kesi yake bado inaskilizwa, hivyo itakuwa ni ajabu kutangazwa leo najua kamati inafuatilia mambo yaliyopo
"Kwa harakaharaka nimegundua kwamba mchezaji ni wetu, nikiangalia naona picha mbaya sana kama mchezaji atasaini na amekuwa na matatizo ya nidhamu kwa muda mrefu, amekuwa akisema kwamba viongozi wa Simba wamekuwa wakimlaghai ili kumpa mkataba hivyo kama atatangazwa leo basi itatoa picha kwamba Simba walikuwa nyuma katika haya," amesema.
Chanzo: Wasafi FM
nyie viongozi wa yanga tatizo mnaleta mambo ya bongo movie kwenye mpira xo uku hamna maigizo uku mambo ni hadharani ngoja morissoni awapande kwanza vichwani maana mnaleta maigizo, hakuna cha GSM wala yanga morissoni amewashika pabaya poleni sana 😂😂😂
ReplyDeleteWewe ongea kama Mwanaume siyo maoni ya kukalili ,Kama unaongelewa subiri uone siyo kushambulia tu Viongozi wa Yanga ukaacha wanaoteka Wachezaji mikia nyie
Deleteyani ukuisikiliza maoni wanayotoa washabiki wa Yanga ndio unapata jibu kwa nini yule kocha aliwaita Monkey (nyani), Mbwa kwa sababu ni lugha za kibaguzi lakini wakati mwingine zina reflect na akili zenu utopolo F.C kazi mnayo
DeleteSimba iliyokunyimeni mataji yote unawaita mikia. Hiyo mikia ndio nguvu za Mnyama alietisha na kuogopwa duniani kote lakini wewe unazani ndio kumshusha cheo HAHAHAAAA na huyo Morison ikiwa ni wa Simba mtamuona atavokufanyeni. Nyie si majisifu kumchukuwa Mwanyati!!! Msijaribu kucheza na jiwe kwasababu ukiliangukia limekuumiza nna likikuangukia limekumaliza
ReplyDeleteKumbe ndiyo maana mnajiitA Simba yaani akili za kufugwa sasa unatoa mfano wa mawe wakati watu wanayapasua na kutoa au kutafuta wanachotaka .Toka lini mwanadamu akacheza na jiwe ZAIDI ya kayapasua akatafuta la kumfaa kwa matumizi eg Tanzanite nk ,Wemnyama anaogopwa huku anafugwa.
DeleteWe ndo hamna kitu kabisa sasa simba ni mnyama wa kufugwa
DeleteSasa hivi mnasaidiwa na Waandishi wa Magazeti ku scout wachezaji muwashuru kwa mahaba yao kwa Timu yenu
ReplyDeleteEnter your comment...mwandishi hujitambui.Manara Alisha Seema kwa kitendo Cha kuondoka uwanjani siku ya dabi Simba angefukuzwa.leo Morrison mtamu.simba acheni janja ya sizitaki mbichi hizi.mlimsifu Tshishimbi Yanga imemtema mko kimya 😂😂😂
ReplyDeleteKwa mtazamo wangu mimi ni kwamba suala la Morrison linatengenezwa makusudi ili kuingilia uhuru wa vyombo vya maamuzi.
ReplyDeleteKama kweli kuna kesi iko TFF, na kama kweli suala hili bado lipo Polisi ili kubaini kama hakuna mashaka kwenye mkataba wake, suala la kutajwa kwamba atatangazwa Simba linakujaje?
Nadhani hata hao Simba kama wanamtaka kweli Morrison, watasubiri hatma yake TFF na Polisi. Sidhani kama viongozi wa Simba wanaweza kuwa hawana akili timamu wamtangaze leo Morrison huku suala lake likiwa halijamalizika.
Maoni kama ana mkataba na Yanga au hana, tutende haki ya kuwaachia wanaochunguza jambo hili.
Nakubaliana na hoja yako.Kwa asilimia kubwa ni jambo linalotengenezwa ili kuingilia uamuzi utakaotelewa na maamlaka zinazohusika kuwa ni njama zilipangwa ili maamuzi yawe hivyo.Na ninahisi kuwa kuna upande kati ya Yanga na Morrisoni wameshajua maamuzi.Kuna upande mmoja unalalamika Simba yuko nyuma ya purukushani hii lkn wao Simba sijawasikia kukanusha wala kukubaliana.Muhimu ni kusubiria hukumu ambayo bila ya shaka itazingatia sheria husika.
DeleteKwa mambo yalivyo hapa Mtu anapiga ngoma yeye anaimba yeye anashangilia yeye anajipigia kura Kama kashinda yeye,huu ndiyo mpira wa Tanzania ,kwani hiyo kamati inasubiri nini kutoa majibu au mpaka wapige kura nani wanakubali au kukataa uhalali Morrisoni
Deletembona humu mnatoleana mapovu sna? kwani simba sii kachukua vikombe vitatu na yanga wamekula 4G si msimu umeisha? 😅😅😅😅😅
ReplyDeleteMmechukua vikombe furahi lkn badala ya kifurahi unawasi wasi na pressure juu .wewe bingwa lkn hujiamini kabisa
DeleteWenye presha ni nyinyi ambao kila kukicha mara mnasili bila kuwepo kocha wala mkurugenzi wa ufundi huku mkijiongopea kwamba mtaizuia Simba, yani hao GSM NDO WATAHARIBIA HIYO TIMU MPAKA MJUTE WEHU NYINYI
Deletekutesa kwa zamu mnakumbuka ya mbuyu twite tumemfuata kusajili mara nyie mkamuwai sasa msubiri sindani ziwaingie
ReplyDeleteSamahani hv wapenzi wa mikia mmelaaniwa?huku mnasema Timu yenu inaendeshwa kisasa huku kutesa kwa Zamu mala Twite sasa huo ukisasa wenu ni nini ,kwahiyo bado mpo zama hiZo mnalipiza kwani CEO wenu kaondoka? Maana mnasifiwa kwa hilo.Ila kubali mtoto alokulia Tandare aachi Vigoma hata ukimwamishia IKULU
DeleteSasa aliyesema hayo maneno ni SENZO , KOCHA WA SIMBA AU MSHABIKI ndio mana nyie mnaitwa manyani kwa kuwa hamjielewi
DeleteHuwezi kupenda hiyo Timu umbumbu ukaisha hiyo rahana ya Rage tena kwenye Mkutano mkuu kumbuka
DeleteUtopolo tulieni bhana, mbona mnaendekeza domo?
ReplyDelete