January 5, 2020

21 COMMENTS:

  1. Hayo ni maoni yake. Simba ina utamaduni wake wa kucheza na jana wachezaji walicheza kama kawaida. Kuna sababu ya hii derby kuchezeshwa na marefa kutoka nje ya nchi. Haiwezekani last defender anamchezea rafu mchezaji anaeelekea kufunga halafu tuta linatolewa ila hakuna kadi nyekundu inayotoka. Kuna matokeo mengi yasiyo ya kiungwana lakini kadi haitoki. Yanga jana rafu nyingi kwasababu hawakuwa na game plan. Hata magoli yao yanaonesha hivyo. Goli la pili ni la faulo kila mtu aliona.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha unazi kipindi cha pili hamkua vizuri.

      Delete
    2. Mbona hatukupoteza mechi kama hatukuwa vizuri. Yanga nguvu nyingi ila hakuna mkakati wa maana ndio maana misuli ilibana kwa baadhi ya wachezaji wao. Ilikuwa bahati tu ila Bocco angekata ngebe zenu.

      Delete
    3. Ndio shida ya kuja na matokeo kutoka majumbani mwenu kwani unadhani Yanga walibahatisha.unposema wamekamia hiyo ndio mbinu ya kocha kocha kulingana na mchezo wa mpinzani wako

      Delete
    4. Ndivyo alivyokwambia amekamia apate droo. Nani aliyekuja na matokeo? Hii ni tathmini baada ya mchezo. Hakuna mkakati wowote uliooneshwa na Yanga kushinda mechi. Na hakuna jipya kwa misimu miwili iliopita mnabana raundi ya kwanza tu raundi ya pili ni kipigo.

      Delete
  2. Sio baadhi sema mzamiru yasini katuuza jana.. aliambiwa one touch yeye akafanya drible ambayo alipokonywa na hata baada ya kupokonywa alimsindikiza mfungaji mpaka alipoenda kufunga. Wanasimba tusiseme jana tulitoa draw.. hiyo draw haina tofauti na kufungwa maana tumeumia mno

    ReplyDelete
  3. Aliyewaangusha ni kipa Manula. Kweli mpira unapigwa mita 30 to golini anashindwa kuzuia?. Goli la pili pia anashindwa kulizuia na inamparaza mkononi. Simba tafuteni Mlinda mlango. Manula ni mfupi na nafanya makosa mengi sana.

    ReplyDelete
  4. Mmezoea kununua mechi. Mmezoea kuwanunulia mechi wachezaji wamezoea kula vya kunyonga, jana hamkuwanyongea vzr. Jana hamkudhania kama akina Balama, Banka, Adeyum, Makame, Abdul wangekuwa sehemu ya mchezo. Jana Yanga imetoa draw na timu ya familia ya Mo. Nyie Simba yenu ipo Msimbazi haina mchezaji. Wachezaji wa jana ni wa Mo ndugu mpendwa Manara huna sauti/ kitu cha kuwaambia. Walio na hofu nao na familia ya Mo. Viongozi wa kweli wa Simba/ Sunderland wote sio sehemu ya Simba hii. Waliobaki ni vibaraka hawajui ata fedha za hiyo Club inayosemwa ni tajiri zinatoka wapi. Inawezekana ata hawajui mshahara wa kocha ambaye hawajui mchakato wake wa kumpata ulifanyikaje. Unashangaa ata Kibadeni hadi leo hajui sababu za Aussems kuondolewa. Lakini mjue campagn zenu za kuvinunua ata vitimu vya FA mnaua mpira wa nchi. Tunajua mnanunua ili kuwadanganya wapenzi kuwa huyu kocha mliyemleta ni zaidi ya Aussems. Haya endeleeni lkn mjue mwisho wa siku hamuwezi kununua timu zote kama UD Songo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha kujitoa ufahamu msimu uliopita Simba walifika robo fainali caf cl au umesahau. Jifarijini na droo maana ubingwa wa ligi kuu mtasahau law kipindi kirefu sana.

      Delete
  5. Hao Simba ni mbebeo Fc
    Bila refa walikuwa wanakufa pale kwa Mkapa
    Tunaomba TFF walete waamuzi wa nje game ijayo ili mbabe wa kweli apatikane

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aliyebebwa ni Yanga kwa kuachwa Yondani na Mtoni kuwa sehemu ya mchezo licha ya kucheza faulo za kadi nyekundu. Refa aliogopa kutoa kadi kwasababu ya ukubwa wa hizi timu. Ila kama ingechezeshwa fair Yanga walishazidiwa long time. Jitihada binafsi za wachezaji ndio zilizowarudisha mchezoni kipindi cha pili ila hakuna na mpango wowote wa kushinda zaidi ya kubeba kuanzia kwa mabeki wa Simba.

      Delete
    2. Na Mwadui walibebwa na nani.mnajiaminisha ni kama vile mmmesajiri wachezaji kutoka tayari gani vile.mjifunze kuheshimu wapinzani wenu hakuna timu inayokuja uwanjwani kupata matokeo mabaya

      Delete
  6. Anonymous!!! We si bure,hivi unausemea mpira ambao wote tumeutazama au mchezo mwingine? Hivi ile Nchimbi kaambiwa ameotea uliiona? Ilikuwa offside au mbeleko ilifanya kazi? Uliiona rafu ya kijinga ambayo Wawa aliyomchezea Nchimbi ndani ya 18, refa katumbua macho? Najua mapovu yote haya ni matokeo mliyoingia nayo uwanjani yakishikiliwa na "POWER BANK" ya Kagere. Mropokaji wenu Manara kakaa kimyaaaa, mnaweza kumuiga.......kwa ufupi hamna mwendo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inategemea unatazama kwa hisia gani? Kama ni unazi umekuzidi huwezi kutoa tathmini ya uhakika. Yondani alitakiwa kupata kadi nyekundu wala hakuna ubishi ile penati ilikuwa ni ya kuzuga tu. Na hapo ndipo mlipobaki mchezoni kandambili ila mngekula nyingi kama sio unazi wa refa kwa mara ya pili.

      Delete
  7. Kabla hujawalaumu kutojituma ufahamu pia umri wa wachezaji wako!

    ReplyDelete
  8. Tatizo Simba mnadanganyana kama nyie ni timu kubwa wakati ni wa kawaida sana mtakuja kusababisha matatizo kwa mashabiki zenu

    ReplyDelete
  9. Kwanza manala kasema wachzaj wake hawajierew xx wanayanga kwann mhangaika majibizano nao cmba inawachezaji wazeee ss huwez xhindana na vijana matokeo yanga 2:1 penet wamepewa hiriz uwanjani tumeona nahic manara ataerew kua yanga ni timu kubwaa na bdooo yangaa inazidi kunoga wataumia xaa

    ReplyDelete
  10. Hizi mechi za watani hazihitaji kulaumiana nani asiyejua magoli ya mechi hizi ni mazingaumbwe tu hakuna uhalisia zaidi ya nguvu za ajabu.Manara hunahaja ya kulaumu.Simba mbovu huwa haifungwi na Yanga imara wala sio rahisi kwa Yanga mbovu kufungwa na simba imara. Tujiulize kama sio mazingaumbwe

    ReplyDelete
  11. Kawaida yenu yanga kubana round ya kwanza ila mtakiona second round lazima mkalie misumari.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic