January 16, 2021


RASMI, Winga Perfect Chikwende raia wa Zimbabwe aliyekuwa anakipiga ndani ya Klabu ya FC Platinum ni mali ya Klabu ya Simba iliyo chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Seleman Matola. 

Simba imemuona nyota huyo raia wa Zimbabwe kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Taifa wa Zimbabwe. 

Katika mchezo huo wa mtoano, Chikwende alimpa tabu Aishi Manula kwa kumtungua bao moja baada ya kuwazidi ujanja mabeki wa Simba chini ya kiongozi wao Joash Onyango na Pascal Wawa. 

Pia alikuwepo kwenye mchezo wa marudiano uliochezwa Uwanja wa Mkapa na Simba ikashinda mabao 4-0 zama za Sven Vandenbroeck ambaye kwa sasa yupo zake Morocco baada ya kubwaga manyanga ndani ya Simba, Januari 7.

Chikwende anakuwa mchezaji wa pili kutambulishwa rasmi na Simba baada ya kumalizana na kiungo mkabaji Thadeo Lwanga ambaye tayari ameanza kuingia kwenye mfumo wa Simba.

Nyota huyo amesaini dili la miaka miwili ambapo kupitia Ukurasa wa Instagram wa Simba wameweka wazi kwamba lengo kupata saini ya nyota huyo ni kwa ajili ya malengo ya Klabu Bingwa Afrika.

Dakika 180 za Chikwende ndani ya Simba akiwatungua bao moja zimetosha kuwashawishi mabosi hao kuweka mkwanja wa mezani na kupata saini ya winga huyo.

Awali ilielezwa kuwa mabosi wa Azam FC walikuwa wanahitaji saini yake ila dau ambalo walitajwa inaelezwa kuwa lilikuwa la kishkaji jambo lililowafanya FC Platinum kuiweka kando ofa hiyo na kuwapa winga huyo Simba.

37 COMMENTS:

  1. Wachache watadhihaki Ila ukweli ni kuwa ukijihisi unabeki Bora alafu kunamshambuliaji/kiungo fundi kwawazidi mabeki Bora Basi itoshe kusema unastahili kumsajiri kiungo au mshambuliaji huyo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Simba imeramba dume hapa.Hakika hii ni moja ya sajili bora kwa Simba na Tanzania kwani hatma na jeuri ya platinum kusonga mbele caf champion league ilikuwa imebebwa zaidi na uwezo binafsi wa wachezaji Kama chikwende. Utaona jinsi gani huyu chekwende alivyo bora.
      Huyu chikwende ndie aliewafungasha virago wamakonde wa msumbiji kwa kuwachapa magoli matatu peke yake.Ni aina ya washambuliaji wanaohitajika Sana ndani ya Simba hivi sasa forcing and pressing striker.
      Hongereni Sana viongozi wa Simba kwani kuongoza ni kukonesha njia kwa vitendo na sio blah blah.

      Delete
  2. Mugalu atolewe hata kwa mkopo,Hana speed

    ReplyDelete
  3. Mnasajili Wachezaji AMBAO tayari mnao . Morrison,Dilunga,miraji,Kahata,Konde boy,nk mnachekesha ila naye tutamfanya Kama prince dube Hiyo February

    ReplyDelete
    Replies
    1. wivu tu!haya yule Yanga waliyemsajili jana walikuwa hawanaye..Simba ina mashindano mengi kikosi lazima kibadilike...sio kila mechi iwe lazima Lamine, fei, kaseke wacheze...na hata wakicheza ushindi ni moja bila..wasipocheza ni sare au kufunga..

      pale simba luis akicheza mechi hii, chikwende atacheza ile, na bocco ile...na kila mechi sii chini ya bao 3

      Delete
  4. Azam ni wakala wa Simba. Ingekuwa anatakiwa na Yanga wasingemwachia

    ReplyDelete
    Replies
    1. kama ni hivyo basi na Yanga ndiyo wakala wa Simba kwani walimleta Bwalya Simba

      Delete
  5. Hilo sawa lakini mbona Simba ni Kama tumerizika Sana na beki zetu?siku tukikutana na mazembe,waarabu tutjuta beki zetu za kati anahtajika mwenye spidi tunambembeleza Sana Wawa!

    ReplyDelete
  6. Wewe ongea kwa hoja Yanga Wachezaji wa Kimataifa kabla ya dirisha dogo ,ilisajili wanane tu JIONGEZE .Ninyi mlitamburisha mitumba siku ya Simba day leo inawagharimu.Morrison kimeo,mtakoma na usanihi wenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mitumba ndio hiyo ipo group stage Ila matahira wanaandamana mji mzima kwa kuchukua kombe la mapinduzi Yani mafuta na maji lazima yajitenge

      Delete
    2. Eti mtakoma Yani kushabikia utopolo ni gonjwa sugu Tena baya lisilotibika, Simba Sasa hv yupo kwenye kilele Cha furaha Sasa nyinyi endeleeni kuilazimisha furaha wakati moyoni mna majonzi ndegeresi

      Delete
  7. Yanga wa kuhurumia tuu. Kikombe cha bonanza watu wanakesha barabarani na kuleta kero kibao kwa watumiaji wengine bure. Ila yanga wanajitahidi sana kushare na kujifariji ujinga

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wakat Simba inachukua Kombe la mapinduz enz za akina Bukungu, Simba hamkushangilia? Waachen Yang washangilie Kombe lao, ulitaka wanune au walikate

      Delete
    2. Utopolo wanayo haki ya kushangilia sana. Miaka mitatu hawajawahi kushinda hata kombe la kuku

      Delete
    3. Simba ilikaa miaka mingapi haijachukua kombe lolote hadi ikabidi mipango ifanyike kupitia vigogo fulani siwataji kwa majina walazimishe TFF wahakikishe Simba inashinda mechi zake na pia kulazimisha itwae kombe la FA ili ipate nafasi ya kushiriki kombe la shirikisho....kumbuka mechi ya fainali ya FA Cup kati ya Simba na Mbao mechi ikapigwa dakika 112 hadi mlipopata goli la kusawazisha la magumashi hadi polisi wakaingia uwanjani kuwapiga virungu wachezaji wa Mbao mbele ya PM na baadae goli la ushindi baada ya kumkaba kipa

      Delete
    4. Kwanza kabisa hata unachookiingea hukijui Simba hawakusawazisha Holi dhidi ya mbao,Bali mbao ndio waliosawazishs dhidi ya Simba na Wala hakuna mchezaji yoyote wa mbao aliyepigwa virungu kwahiyo hakuna haha ya kubishana na ma****ni fc

      Delete
  8. Hii mikia mashabiki wengi bodaboda Wala viroba Wana akili za kupampisha,wanataka kila Jambo Zuri watajwe wao,B4 fainali baada ya kuwatoa Namungo tuliambiwa walivyo na uwezo wa kutengeneza nafasi ,mwishowe kilichotokea fainali short on target nil.Bila kusau hata Ile mechi ya mojamoja walilenga golini mala mbili Tena second half (header) .Ikishinda Yanga utasikia wanafunga magoli ya mipira ya kutenga,wao wakifunga hata la mkono Kama KMC eti ndo mpira wanajua.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio Mana Kila siku tunawaambia yule kocha wenu hakukusea kuwaita manyani wenye 0 short on target wapo makundi ligi ya mabingwa

      Delete
    2. Na ile mechi ya 4-1 mlikuwa na short on target ngapi?

      Delete
    3. Unazungumzia Simba kubebwa,hv kwa mfano nyie msimu huu bila kubebwa nafikiri mpaka Sasa mngekuwa nafasi ya 4,na kmc mlipewa penalti ya utata,mechi na kagera sugar walinyimwa penalti,mechi na gwambina Holi la wazi lilikataliwa mechi na Simba penalti ya utata halafu tahira mmoja anakuja eti Simba ilibebwa na mbao mechi ilichezwa dk 112 washasahau malinzi alivyopost Yanga anaongoza ligi,miaka 3 yote mlilochukua ubingwa ilikuwa no ya dhuluma kubwa dhidi ya Simba,lkn Leo hii TFF mnayoisema kuwa Simba ndiyo iliyowabeba mpaka Sasa mnatushikia nafasi yetu ya Kwanza matahira nyinyi, waongopeeni hao hao wanaojua Mpira kupitia mitandao ya kijamii

      Delete
  9. Kumbe nyinyi woooote hamjui kwann yanga wanashangilua sana, kinachoshangiliwa sio kuchukua kombe la mapinduzi ila furaha ni kumfunga paka fc maana kabla ya mechi watu walitambiana sana, sasa kama paka kauwawa kwann yanga tusifurahi? Kwa taarifa yenu wote yanga na simba hata wakishindania kikombe cha kahawa furaha ni kumfunga mtani, na sio kuchukua kikombe cha kahawa, kwaiyo paka fc kaeni kimya tumewagonga.

    ReplyDelete
  10. Tatizo Wala viroba mikia chakali,eti makundi kwa Hiyo mitimu mibovu mlipangiwa mnashangilia Platnum,plateau United hata Ihefu anazitoa.Huyo Chikwenda kwenye Timu ya Zimbabwe iliyopo Cameroon aliitwa?.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Simba kashawahi kuitoa zamalek iliyokuwa bingwa mtetezi wakaingia robo fainali 2003 haya tuambie wewe ushawahi kuitoa timu gani mbovu na ukaingia hatua ya makundi,au ndio nyinyi mnaojifunza Mpira kupitia yuotube

      Delete
    2. Kama mabaasha zenu Plateau ingekuwa timu mbovu mbona mlienda kuwapokea na maji ya kuoga mkawaandalia wamezenu,halafu ebu tutajie timu ngumu ambayo alafu ukaingia hatua ya makundi sheeeenzi sana Kule hakuna Jamal Malinzi aliyekuwa anawabeba beba

      Delete
  11. Na Hiyo makundi ni round ya pili jua,msije mkatuda ganya

    ReplyDelete
    Replies
    1. Eti hiyo makundi round ya pili ndio Mana yule kocha wenu akawaambia mnabweka Kama manyani,kumbe ata unachochangia chenyewe hukijui mi nilijua nabishana na mtu mwenye akili zake kumbe punguani

      Delete
    2. Na wewe unabishana na hao manyani fc,yule kocha wao luc Eymael alishasema mashabiki wa hiyo timu hawajui chochote kuhusu Mpira kazi yao ni kubweka Kama manyani Sasa mtu anakwambia eti hatua ya makundi ni raundi ya pili Kuna haja ya kubishana nae huyo,Yani ni sawa sawa unabishana na mtu aliyepungukiwa akili hawezi kuelewa chochote I'm out

      Delete
  12. Welcome perfect Chikwende .This is simba brother one power

    ReplyDelete
  13. Welcome perfect Chikwende .This is simba

    ReplyDelete
  14. Hivi mbona sie hatujazani uwanja wa ndege kuwapokeaga wachezaji wetu kama wale wenzetu

    ReplyDelete
  15. Mimi nadhani wengine humu Elimu inawapiga chenga ,pana stage mbili za makundi mlicheza mechi ya round ya awali vs plateau ,round ya kwanza mkacheza na Platnum ya pili ni makundi manne mloingia ,zitatoka Timu mbili kila kundi kucheza robo fainali (makundi mawili),halafu kila kundi litatoa washindi wawili wacheze nusu fainali wa kwanza kundi A na wa pili kundi B vilevile wa kwanza kundi B na wa pili kundi A Hiyo inaitwa nusu fainali .Sasa Mimi nisiyeelewa nimekosea wapi .Unayo simu inayokusaidia kujua matusi ingia kwenye mtandao wa CAF mwenyewe utajua ukweli au Kiinglishi hakipandi mpaka usome mwanaspoti habari za WK iliyopita zinaandikwa leo.

    ReplyDelete
  16. Nakupa hii kwa kifupi mpe Kaka au dadako anayejua Kidhungu akutafsilie,There are two knockout stages ;The preliminary stage and the first round (32teams).After first round stage ,the 16teams knocked out of the first round (eg platnum &Enyimba)are entered into Confederation Cup to play against the final 16 teams in that competition (eg Namungo). After the round the last 16Teams are split into four groups of 4 Teams of which two Teams from each group will qualify four next stage to play knockout (Semi final).mpaka hapo nadhani utajiongeza ingia mtandao wa CAF au andika African Club champions league qualification stages hapo itakusaidia kuacha matusi.

    ReplyDelete
  17. Of which each group of 4 teams will form two teams leadind the group to qualify for last 8teams to form 2group of which two Teams leading each group will qualify for knockout stage (semi final).to qualify for last stage(Final) 2 Teams.Ile taarifa ya mwanzo nimeruka haya maelezo samahani After 4 groups(16teams)ni 2groups 8 teams)

    ReplyDelete
  18. Kwa nukuhu ya Lage umbumbu ni mbaya.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic