September 12, 2020


 LEO, Septemba 12, Mtibwa Sugar itaikaribisha Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro kwa kila timu kuingia ndani ya uwanja kusaka pointi tatu muhimu.

Rekodi zinaonyesha kuwa ndani ya misimu nane ambayo wamekutana kwenye ligi, Mtibwa Sugar imefungwa jumla ya mabao 20 huku wao wakiifunga Simba mabao matano.

Wakiwa wamekutana mara 16, rekodi zinaonesha kuwa Simba imeshinda mara tisa huku Mtibwa Sugar ikishinda mara mbili na sare tano.
 Rekodi zao zipo namna hii:-2012/13
Mtibwa Sugar 2-0 SimbaSimba 0-1 Mtibwa Sugar

2013/14Simba 2-0 Mtibwa SugarMtibwa 1-1 Simba.


2014/15Mtibwa Sugar 1-1 Simba
Simba 1-0 Mtibwa Sugar2015/16Simba 1-0 Mtibwa Sugar
,Mtibwa Sugar 0-1 Simba2016/17Simba 2-0 Mtibwa Sugar,Mtibwa Sugar 0-0 Simba.

2017/18,Simba 1-1 Mtibwa SugarMtibwa Sugar 0-1 Simba2018/19, Simba 3-0 Mtibwa Sugar, Mtibwa 0-0 Simba.2019/20Simba 2-1Mtibwa Sugar
Mtibwa Sugar 0-3 Simba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic