September 12, 2020

 


LEO, Septemba 12 kivumbi cha Ligi Kuu England kinaanza rasmi kutimua vumbi.


Bingwa mtetezi ni Liverpool inayonolewa na Jurgen Klopp ina kazi ya kuanza kusaka pointi tatu muhimu.


Ratiba ya leo ipo namna hii:-

Fulham v Arsenal,  saa 8:30 mchana.


Crystal Palace v Southampton,  saa 11:00 jioni.


West Ham United v Newcastle United,  saa 11:00 jioni.


Liverpool v Leeds United,  saa 1:30 Usiku.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic