FT:Yanga 1-1 Prisons
Uwanja wa Mkapa
Kipindi cha pili
Aliyetupia bao kwa Tanzania Prisons ni Lambart Sabiyanka dakika ya 7 na lile la Yanga likipachikwa na Michael Sarpong dakika ya 19
Zinaongezwa dakika 5
Dakika ya 87 Nchimbi anapiga kichwa nje ya lango
Dakika ya 81 Nurdin Chona anaonyeshwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi ya njano ya kwanza dakika ya 80 na ya pili 81.
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Klabu ya Yanga na Tanzania Prisons Uwanja wa Mkapa ni kipindi cha pili.
Yanga inakwenda kwenye vyumba vya kubadilishia nguo ikiwa imetoshana nguvu na Tanzania Prisons.
Prisons ilianza kupachika bao la kwanza dakika ya 7 kupitia kwa Lambrt Sabiyanka ambalo lilisawazishwa dakika ya Michael Sarpong dakika ya 19.
Mchezo ni wa ushindani ambapo mashabiki wamejitokeza kwa wingi kushuhudia mtifuano huu ndani ya Uwanja wa Mkapa
Dakika ya michael sarpong
ReplyDeleteChupa mpya mvinyo ule ule. Pamoja na kubebwa. Sare zimeanza.
ReplyDeleteYanga kabebwa au refa aliwatoa Ihefu mchezoni?
DeleteYanga kabebwa au refa aliwatoa Ihefu mchezoni?
DeleteShare hizoooo zinaanza. Mnyama keshaanza kama desturi analiongoza jahazi
ReplyDeleteMpira hauchezwi mdomoni manyumbu fc
ReplyDeleteHaya sasa kikosi cha 1.3bn kinatokea nishai na kikosi cha laki tano
ReplyDeleteWa kumataifa mnafeli wai kukifunga kikosi cha wazawa tena kiikiwa pungufu?
DeleteWameanza kuzomea marefa baadae watazomeana
ReplyDeleteKikosi cha 1.5B ndio matapishi haya tumeyaona tena kwa mkapa kona 13 sijawahi kuona kandambili aka vyura aka GONGOWAZI
ReplyDeleteJe kile kikosi bora cha mnyama mwaka jana kiliifunga prisons mara ngapi msimu uliopita?
DeleteMbumbumbu hawajitambui ndg waache tu
DeleteNa siku njema huonekana tangu asubuhi. Wachana mashati chali
ReplyDeleteWashukuru goli la pili ilikuwa chupuchupu dakika za mwisho
ReplyDeleteKikosi cha wachezaji wasiochukuliwa kama free agent, wote wamevunjiwa mikataba kwenye timu hatari hatari!
ReplyDeleteUtopolo washaanza mwendo wao, nafac ya mkiani ndo yenu utopo. Msikatae asili yenu utopolo fc
ReplyDeleteYanga
ReplyDeleteNdo kawaida yao. Ubingwa wausubiri 2023.
Hivi kuna tofauti gani ya akina Kipe na Molinga?
ReplyDeleteSababu za kufungwa ni mijezi ya zamani, kuhangaika na tweet za Kigwangala na mo, ceo mpya
ReplyDeleteIla waliahidi watazindua sijui lini?
ReplyDelete