MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya KMC dhidi ya Coastal Union leo Oktoba 14 imelazimisha sare ya bila kufungana mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Uhuru.
Ally Ramadhan Oviedo wa KMC alionyeshwa kadi nyekundu.Tazama kilichotokea mwishoni mwa kipindi cha kwanza.
0 COMMENTS:
Post a Comment