November 22, 2020

 


NOVEMBA 22, leo Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa 11 kwa timu nne kushuka uwanjani kusaka pointi tatu kwenye viwanja viwili tofauti.


Uwanja wa Kaitaba, Kagera Sugar iliyokusanya pointi nane itakutana na Mwadui FC iliyokusanya pointi 10 saa 10:00 jioni.


Uwanja wa Mkapa leo saa 1:00 kutakuwa na mchezo kati ya Yanga iliyo na pointi 24 dhidi ya Namungo FC iliyo na pointi 14 zote zikiwa zimecheza mechi 10.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic