LEO Desemba 19 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa timu nne kushuka uwanjani kusaka pointi tatu muhimu.
Gwambina FC iliyo nafasi ya 14 na pointi 17 v Prisons iliyo nafasi ya 9 na pointi 20 itapigwa, Uwanja wa Gwambina Complex.
Ihefu FC iliyo nafasi ya 18 na pointi 10 v KMC iliyo nafasi ya 7 na pointi 21, Uwanja wa Sokoine.
Mtibwa Sugar iliyo nafasi ya 11 na pointi 19 v JKT Tanzania iliyo nafasi ya 15 na pointi 14, Jamhuri,Morogoro.
Yanga iliyo nafasi ya kwanza na pointi 37 v Dodoma Jiji iliyo nafasi ya 10 na pointi19, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
0 COMMENTS:
Post a Comment