December 30, 2020

 

FT: Simba 4-0 Ihefu


Uwanja wa Mkapa


Simba inasepa na pointi tatu muhimu na kufikisha pointi 35

Dakika ya 90+2 Mugalu anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18 baada ya kumpiga chenga Munish

Zinaongezwa dk 3

Dakika ya 90 Teps Evans anaingia anatoka Simchimba

Dakika ya 83 Goal Mugalu 

Dakika ya 80 Mugalu anaotea inakuwa ni mara ya 7 kwa Simba kuotea

Dakika ya 79 Luis anatoka anaingia Dilunga 

Dakika ya 71 Ame anapewa huduma ya Kwanza baada ya kuumia ndani ya Uwanja na akatolewa nje nafasi yake ikichukuliwa na Kameta 

Dakika ya 64 Luis na Munish wanapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 63 Luis anakosa nafasi 
Dakika ya 60 Chama anaotea

Dakika ya 51 Kagere anaotea

Dakika ya 49 Mahadhi anatoka anaingia Ngoah, Khamis anatoka anaingia Kinyozi

Dakika ya 48 Mahadhi anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 47 Manula anaokoa

Dakika ya 46 Bwalya anapaisha 

Kipindi cha pili

KIPINDI cha kwanza 


Simba 3-0 Ihefu

Uwanja wa Mkapa


Mapumziko 

Dakika 2 zinaongezwa 

Dakika ya 44 Mahundi kadi ya njano

Dakika ya 40 Kagere goaaaal

Dakika ya 39  Mahadhi anapiga on target inaokolewa na Manula

Dakika ya 30 Dida anaokoa hatari ya Meddie 

Dakika ya 29 Luis Miquissone anafunga bao akiwa ameotea

Dakika ya 24 Kapombe anakosa nafasi ya wazi kwa pasi ya Rarry Bwalya 

Dakika ya 22 Andrew Simchimba anapeleka mashambulizi kwa Manula

Dakika ya 20 Samweli Jackson anaonyeshwa kadi ya njano 

Dakika ya 15 Kagere goal 


Goal Mohamed Hussein dk 9

Asisti Shomari Kapombe

Dakika ya 6 Luis anachezewa faulo ndani ya 18

Dakika ya 4 Ihefu wanagonga pasi kwa dakika moja

Dakika ya 3 Kenedy Juma anacheza faulo 

Dakika ya 1 Kapombe alimwaga maji yaliokolewa

12 COMMENTS:

  1. Mpira elekezi hasa Kipa ,yale magoli aliyokuwa anafungwa yeye na Barthez na Kichuya ameonyesha alivyo Mzee wa miuzo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ila Vyura wao walifunga magoli yasiyo na utata!

      Delete
  2. Goli la kwanza anajifanya kuanguka? thanks

    ReplyDelete
  3. Mmeanza, na bado. Wakati mnawafunga 3 mbona sikusikia haya?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haikuwa kizembe hivyo!!!!!

      Delete
    2. Kama wammeshindana na mfumo lazima uone wamefungwa kizembe. Hata as vita walituzidi ilionekana tumefungwa 5 kirahisi.

      Delete
  4. Kwanini hamchezi na Azam na Namungo na zote zipo tu,Hawa Waarabu walima mchele wanajulikana Itikadi yao msituzuge buana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Itakapofika siku ya Simba kucheza na Azam na Namungo basi watacheza kwa mujibu wa ratiba maana hii ni ligi na kila mechi ipo kwenye ratiba.....au wewe ulikuwa unawaza nini?ulifikiri wamecheza ndondo Cup au kombe la mapinduzi?

      Delete
    2. Sisi hatupumziki, michuano ya Caf ndyo yamesababisha kuwe na viporo. Na usihofu mechi zote tutacheza wewe maliza mechi zako nami zangu tukutane mwisho wa mzunguko. Hofu ya nini? Sisi tumecheza na Majimaji jumapili leo na Ihefu au unataka tucheze kilasiku

      Delete
  5. Mavi yameanza kugonga chupi Visingizio vitaanza soon.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ukitaka kujuwa akili za hawa jamaa angalia club yao imejengwa wapi, hivi watu wanaoweza kujenga mabondeni wakati huo viwanja vipo kibao wana akili gani? Hao jamaa ni sawa na kubishana na teja acha wabwabwaje tu ndiyo upeo wao wa kufikiri.

      Delete
  6. Utopolo mchecheto mme wenu kasharudi muda si mrefu anakaa kwenye nafasi yake

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic